Dah!! hawa waasi waangalie sana wasije wakakufanya mateka ndio maana nimewawekea rangi nyekundu, hao kwenye rangi ya bluu ukiwafahamu basi hautasikia la kuambiwa, hao wengine kwenye nyeusi ni majirani zetu kuna mmoja ni mama mkwe wangu hapo.
Mhn!!!Karibu ila pagumu uwe mvumilivu tu!! :welcome:
Imefanyeje??mjomba??
:becky:😛layball:
Imefanyeje??mjomba??
:becky:😛layball:
Mhn!!!Karibu ila pagumu uwe mvumilivu tu!! :welcome:
hata mimi siielewi?
Personally umenivutia sana, ingawa upo hapa kwa mara ya kwanza,..karibu sana where we dare to talk openly wit mantik tho..Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone uso kwa uso na hawa members
THE FINEST
TEAMO
ASPRIN
KAIZER
FIDEL80
ROYA ROY
NYAMAYAO
SMILES
BEAUTY
FIRSTLADY
hehehehe!kiongozi karibu sana!
mimi sasa hivi nimejificha kinondoni hapa ninaaaaaaaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
And u expect me to tell u.....? :tongue1:
kubwa hhii kaka!Huko kinondoni una :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:ile :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:kubwa au ndogo?
Naomba pafu mkuu!! najisikia :sick: sana yani, inanichangamsha!!kubwa hhii kaka!
sasa mi nivute ndogo kama ya beauty na smile itakuwaje sasa?
vipi mfungo haujaisha.....au mwezi wa mama maria!karibu Danity...Kakakiiza unaonaje kama ukibadili avatar? nitakupenda zaidi.
kubwa hhii kaka!
sasa mi nivute ndogo kama ya beauty na smile itakuwaje sasa?
vipi mfungo haujaisha.....au mwezi wa mama maria!
Ubarikiwe sana.....
Karibu sana JF! katika hao uliowataja hapo kuna team mbili....
Infidelity Social Club na Infidelity Prevention Committee....
Mimi nikiwa kama kiongozi mwandamizi wa "Infidelity Prevention Committee"
Napenda kukualika kwenye chama chetu....and i promise u "U WONT REGRET IT"
*najua kina kaizer watakuja na ahadi kibao....lakini usijali hiki chama chetu ndio cha ukweli!!!
sawa eeh......nashukuru!! :becky::becky:
kubwa hhii kaka!
sasa mi nivute ndogo kama ya beauty na smile itakuwaje sasa?
Mkuu umewahi kuona toothpick inazama jichoni? haina tofauti na avatar yako, inastua mno kwa sisi wenye midadi ya hisiaImefanyeje??mjomba??
:becky:😛layball:
Tatizo wewe unaogopa cha Arusha....