Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
Dah!! hawa waasi waangalie sana wasije wakakufanya mateka ndio maana nimewawekea rangi nyekundu, hao kwenye rangi ya bluu ukiwafahamu basi hautasikia la kuambiwa, hao wengine kwenye nyeusi ni majirani zetu kuna mmoja ni mama mkwe wangu hapo.
Hahahahahah...........