hehehehehe! mpwa muelekeze nyamayangu aje hapa BLOCK 41 niko na watu wazima KIKOSI tunaaaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:Unataka kutafsiri kuwa bacha na bht wana do the needful? hebu kapige pafu moja la bange huko!!!
There are currently 35 users browsing this thread. (12 members and 23 guests)
Bacha nakuona hapa...Say something. Naona jana watu walikuvalia njuga, usihofu hii ndio JF. Na hiki kifaa kipya Danity, naomba usikiingilie! Nshakamata kontakti zake:A S 13::A S 13::A S 13:
- Asprin
- KakaKiiza
- FirstLady1+
- MWIZUKURU
- Kithuku
- bacha
- E=mcsquared
- faithful
- Ome
- Kimbweka
- sakalaga
- Ibrah
- bht
At looooooong last! bht ndani ya nyumba! Hujambo mshikiz? Ulikuwa umeolewa wapi ukaachika mara?
Unataka kutafsiri kuwa bacha na bht wana do the needful? hebu kapige pafu moja la bange huko!!!
Mkuu hapo ulitakiwa kutumia formula ya kimasai...........kaa kimya usijiguse.......kwani mm nananii wewe au wewe na nanihii mimi?Teamo/Finest/Bigirita/Kaizer/Asprin etc.....mmeshwahi kukutana na Infii ana:A S-smoking: .... nilikaribia ku:rip:
Mwanakijiji
Pakajimmy
Kaizer
naona umewasahau:hand:
Mkuu hapo ulitakiwa kutumia formula ya kimasai...........kaa kimya usijiguse.......kwani mm nananii wewe au wewe na nanihii mimi?
kwa sababu TEAMO ndo yupo block 41 sasa hivi, hebu do ze needful......moto kwa moto.... mpe contact fasta.Niko tayari ku-apply rule 3 kwa huyu infii anae:A S-smoking:.....kuna mhitaji?
Unataka kutafsiri kuwa bacha na bht wana do the needful? hebu kapige pafu moja la bange huko!!!
Akisha :A S-smoking: hasikii kabisa....
Natafuta wa kutekeleza rule 3....
mbona mnataka kunichonganisha na dada angu bht jamani????
hapo sasa wewe ndio umeshasema....
nikumbushe inasemaje kama naweza kukusaidia vile.....
Hivi bht yuko wapi aje athibitishe/akanushe hili? Mamushka wangu hawezi megwa hivihivi bila ridhaa ya big braza ODM!Kwan uki-do the needfull na bht kuna ugomvi hapo? Si inakua raha mustarehe?
Kwan uki-do the needfull na bht kuna ugomvi hapo? Si inakua raha mustarehe?
heheheh! mkuu nashukuru sana kwa kuliona hili!kwa sababu TEAMO ndo yupo block 41 sasa hivi, hebu do ze needful......moto kwa moto.... mpe contact fasta.
natamani bht ajitokeze athibitishe hili!
natamani bht ajitokeze athibitishe hili!
Hivi bht yuko wapi aje athibitishe/akanushe hili? Mamushka wangu hawezi megwa hivihivi bila ridhaa ya big braza ODM!
Umenikumbusha mamushka wangu lol!Asprin, unakumbuka ule mchezo wa watoto wa miaka ya nyuma uleeeeee... unaitwa ''kula mbakishie baba''?
Huna contacts zake? Hebu mtwangie aje avunje haya mauzushi bana!