Hawa watu wananivutia sana

Hawa watu wananivutia sana

hehehehe!
yaani jamani huku kinondoni huku dah!jamaa wanajitahidi sana kukisokota kiasi kwamba ukiiiii:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:

ni kama vile upo lanchi breakpoint

Kuna jamaa kinondoni pale wao cha kwao wanachnganya na mdudu ukiwa una :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:unahisi kama vile unakula mdudu
 
Kama wewe ni mwanaume, First Lady mwondoe kabisa kwenye list yako na usithubutu kumtaja tena. Watu wataku-pm sasa hivi halafu mkwara utakaoupata patakuwa hapatoshi. Hata hivyo usiwajali sana hawana lolote yeye mwenyewe keshawatangazia ukumbi mzima kwamba ni mke wa mtu, na kweli atakuwa hadanganyi sababu anaonekana ni mshauri mzuri sana hasa kwenye maswala ya migogoro ya wanandoa!

yalikukuta kaka?
 
Mpendwa Kakakiiza kwa heshima na taadhima ningefurahi sana kama ungebadilisha Avata yako

Natanguliza shukrani
wako mtiifu
FL
Hii imekaaje??nanakuomba itizame vizuri uniambie umeona nini!!
 
yalikukuta kaka?

Nyamayao habari za asubuhi:doh::doh: samahani habari za mchana unajua huku kinondoni hii:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:sijui wamenichanganyia na mashudu ya nini
 
yaani hapa nina uhakika kabisa sielewi mnachoongelea.....
1.sio lazima uelewe kila kitu mkuu,mambo mengine yanaanzia mbali kwenye pm
2. Wengine wanajuana.
3.hapo wewe ni kukaa kimya vinginevyo utakuwa unadandia treni kwa mbele
 
hehehehe!
yaani jamani huku kinondoni huku dah!jamaa wanajitahidi sana kukisokota kiasi kwamba ukiiiii:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:

ni kama vile upo lanchi breakpoint

Teamo/Finest/Bigirita/Kaizer/Asprin etc.....mmeshwahi kukutana na Infii ana:A S-smoking: .... nilikaribia ku:rip:
 
Hivi nikitaka kumpiga Smiles au Beauty ban la mwezi mmoja natakiwa nifanyeje?
 
Teamo/Finest/Bigirita/Kaizer/Asprin etc.....mmeshwahi kukutana na Infii ana:A S-smoking: .... nilikaribia ku:rip:
UngeRIP chama kingepata pigo kubwa sana. Smiles angechukua nafasi yako...anaelekea anaimudu sana!
 
Jamani kuna mtu kanionea Danity humu ndani? Mkimwona mwambieni Big Brother ODM anamtafuta eti........ nataka afanye.:decision: kwenye jambo flani hivi kwa maslahi ya chama na wanachama kwa ujumla!
 
Teamo/Finest/Bigirita/Kaizer/Asprin etc.....mmeshwahi kukutana na Infii ana:A S-smoking: .... nilikaribia ku:rip:

Dah Kaka maisha yako yalikuwa mikononi mwake sipati picha kwenye knockout phase ila najua kati ya BEAUTY NA SMILES mmojawapo ange cover nafasi yako sababu hawa ni wataalamu wa kupiga HOTBOX wao huwa wanapiga wakiwa kwenye gari huku vioo vyote vimepandishwa bila hata ya kuwasha AC
 
UngeRIP chama kingepata pigo kubwa sana. Smiles angechukua nafasi yako...anaelekea anaimudu sana!

:mad2::mad2::behindsofa::behindsofa::couch2::couch2::confused2::confused2:
 
Jamani kuna mtu kanionea Danity humu ndani? Mkimwona mwambieni Big Brother ODM anamtafuta eti........ nataka afanye.:decision: kwenye jambo flani hivi kwa maslahi ya chama na wanachama kwa ujumla!

Orait orait noted for action
 
Hivi nikitaka kumpiga Smiles au Beauty ban la mwezi mmoja natakiwa nifanyeje?

Wape hii kitu :A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:umemaliza kazi tena ilivundikwa siku 10
 
Dah Kaka maisha yako yalikuwa mikononi mwake sipati picha kwenye knockout phase ila najua kati ya BEAUTY NA SMILES mmojawapo ange cover nafasi yako sababu hawa ni wataalamu wa kupiga HOTBOX wao huwa wanapiga wakiwa kwenye gari huku vioo vyote vimepandishwa bila hata ya kuwasha AC

Hapa sijui unamaanisha nini kiongozi.....? :confused2::confused2:
 
Back
Top Bottom