Hawa wavuvi T/Rollers wakishinda leo....Labda siyo Mimi.

Kama nauona vile uzembe wa viongozi wetu wa timu na benchi la ufundi kushindwa kuwalipa madeni yao, wachezaji walioibeba timu msimu uliopita kama Kelvin Yondani na Juma Abdul, na pia kushindwa kumuongezea mkataba Gadiel Michael; Mapengo yao yako wazi kabisa.
 
Yanga akishinda leo basi ni kushinda Njaa tu.
 
Maisha yanaendaje hapo jangwani?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸΈπŸΈπŸΈπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shadeeya hali yako muda huu?

Mbeleko unaizungumziaje maana imekua kama dawa ya pressure kwakoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Halafu kuna mdau alisema hata uwanja hamtaujaza na ndio kilichotokea

Sasa hebu tupe matarajio yako kwenye mechi ya marudiano
 
Shadeeya hali yako muda huu?
Sijambo kabisaaaaa. πŸ™ˆ
Mbeleko unaizungumziaje maana imekua kama dawa ya pressure kwakoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Yaani nilitamani unione saa ya ile penalti mana nilikuwa kama Banka kwani nilifumba macho nisione kinachotokea. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Halafu kuna mdau alisema hata uwanja hamtaujaza na ndio kilichotokea
Muda mbovu ule Ses.
Sasa hebu tupe matarajio yako kwenye mechi ya marudiano
I think we will do the best. (nimeonyesha msisitizo) πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Pole sana maana wale watoto Rollers hawana adabu kabisaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Hawaogopi wananchi wala hawajali kama wapo ugenini. Tena bahati yenu tu kuwa walijitoa ufahamu wakavaa jezi rangi ya njano. Wangevaa rangi ya bahati, rangi ya kifalme, rangi ya mabingwa, rangi nyekundu au nyeupe wangewapakata hadi goli nne

Ni vizuri lakini kua na ndoto za kufanya vizuri mechi ya marudiano, mkiamka usingizini mnajikuta mnacheza ligi ya mchangani ya hapa bongoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Walituwahi tu na kama uliangalia Second half natumai uliona mpira tuliowachezea.

Bado nasisitiza nafasi tunayo.
 
Walituwahi tu na kama uliangalia Second half natumai uliona mpira tuliowachezea.

Bado nasisitiza nafasi tunayo.
Wazanzibari walikua na msemo wao "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala", ni hilo unalolisema hapa ujueπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…