Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Wamekosaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga akishinda leo basi ni kushinda Njaa tu.Heeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga.
Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto cha kulalia mgongoni mpaka nife.
Yanga tufurahieni ushindi wa Bao 3 kwa Nunge 0 upo.
Maisha yanaendaje hapo jangwani?Heeeh...leo nipo jukwaa hili la michezo. Nimeona...Yanga leo wanashinda. Tena kwa bao nyingi tu. Hongeren sana wanayanga.
Kama T/Roller leo wakishinda...natoa offer ya mtu kunipiga piga na kimto cha kulalia mgongoni mpaka nife.
Yanga tufurahieni ushindi wa Bao 3 kwa Nunge 0 upo.
Daah yanaenda kwa kudra za Mwenyezi Mungu tuMaisha yanaendaje hapo jangwani?
Nani kawekwa?Kituu
Sijambo kabisaaaaa. 🙈Shadeeya hali yako muda huu?
Yaani nilitamani unione saa ya ile penalti mana nilikuwa kama Banka kwani nilifumba macho nisione kinachotokea. 😀😀😀😀Mbeleko unaizungumziaje maana imekua kama dawa ya pressure kwako😃😃😃
Muda mbovu ule Ses.Halafu kuna mdau alisema hata uwanja hamtaujaza na ndio kilichotokea
I think we will do the best. (nimeonyesha msisitizo) 😅😅😅Sasa hebu tupe matarajio yako kwenye mechi ya marudiano
Pole sana maana wale watoto Rollers hawana adabu kabisa😃😃😃Sijambo kabisaaaaa. 🙈
Yaani nilitamani unione saa ya ile penalti mana nilikuwa kama Banka kwani nilifumba macho nisione kinachotokea. 😀😀😀😀
Muda mbovu ule Ses.
I think we will do the best. (nimeonyesha msisitizo) 😅😅😅
Walituwahi tu na kama uliangalia Second half natumai uliona mpira tuliowachezea.Pole sana maana wale watoto Rollers hawana adabu kabisa😃😃😃
Hawaogopi wananchi wala hawajali kama wapo ugenini. Tena bahati yenu tu kuwa walijitoa ufahamu wakavaa jezi rangi ya njano. Wangevaa rangi ya bahati, rangi ya kifalme, rangi ya mabingwa, rangi nyekundu au nyeupe wangewapakata hadi goli nne
Ni vizuri lakini kua na ndoto za kufanya vizuri mechi ya marudiano, mkiamka usingizini mnajikuta mnacheza ligi ya mchangani ya hapa bongo😃😃😃
Wazanzibari walikua na msemo wao "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala", ni hilo unalolisema hapa ujue😃😃😃Walituwahi tu na kama uliangalia Second half natumai uliona mpira tuliowachezea.
Bado nasisitiza nafasi tunayo.