utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Hili ndio wengi ambao ni wafuatiliaji wakubwa wa siasa tunaliona.
Kumbuka generation za viongozi ambao wapo madarakani wenye kutaka kile kiti ndio walisumbua sana 2015 kwa ajili ya mkakati wa 2025 maana mahesabu yao hayakuwa ile 2015 sema walikuwa wanajijenga na kujiwekea foundation sema kwa bahati mbaya mahesabu yaliharibika baada ya mwamba kufariki, sasa kifuatacho ni 2030.
Hawataambilika hawatamsikiliza mtu, kila mmoja atatumia njia zake kufika pale, maana wote watakuwa makambale baada ya wakubwa ambao waliweza ku control baadhi ya mambo yakienda kombo kama 2015 kuondoka wote.
NB: wengi watasema mbona Mzee wa Msoga yupo, ni kweli kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu atakuwepo na tunamuombea sana lakini kwa kizazi hiki na ujeuri huu hataweza kuzuia kitu tuombe uzima tufike 2030 tujionee mengi zaidi ya 2015.