Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Ulivyoandika zidi, ndio nimejua IQ yako.Hapo vip!!
Kwa mpira waleo...siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kiskari na presha..
Kwa mpira wa leo waliocheza Simba zidi ya Apr ilyoifunga yanga juzi bao 3 kwa 1..naona yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
naichukia yanga kwasababu ni ya kidini, wameifanya ni timu ya waislam tu, ndio maana hata jana hawakuta hata mchungaji. ila ukweli usemwe, simba wakicheza kwa kiwango kile watafungwa mengi sana na yanga.Hapo vip!!
Kwa mpira waleo...siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kiskari na presha..
Kwa mpira wa leo waliocheza Simba zidi ya Apr ilyoifunga yanga juzi bao 3 kwa 1..naona yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
Ni ngapi au ipoje?Ulivyoandika zidi, ndio nimejua IQ yako.
IQ yangu ni kubwa kuliko wanayanga wote changanya na wale wawili ambao manara alisema ndio wenye akiliNi ngapi au ipoje?
Simba wao sio ya kidini? Kafuatilie dua iliyofanyika majuzi ikiongozwa na Mangungu kama kulikuwa na padri, askofu, mchungaji wala mtumishi.naichukia yanga kwasababu ni ya kidini, wameifanya ni timu ya waislam tu, ndio maana hata jana hawakuta hata mchungaji. ila ukweli usemwe, simba wakicheza kwa kiwango kile watafungwa mengi sana na yanga.
Kisukari yenyewe umeona ilivyoandikwa?Ulivyoandika zidi, ndio nimejua IQ yako.
Simba wao sio ya kidini? Kafuatilie dua iliyofanyika majuzi ikiongozwa na Mangungu kama kulikuwa na padri, askofu, mchungaji wala mtumishi.
Endelea kuwa mtaalam wa spelling..ni ujinga kudeal na spelling kwenye maandishi..ni ishara ya uwelewa mdogo piaKisukari yenyewe umeona ilivyoandikwa?
Marekebisho, uto tunao watu watatu wenye akili Mtani, umemsahau Mzee Magoma, naona hesabu ulidoji skuli!!IQ yangu ni kubwa kuliko wanayanga wote changanya na wale wawili ambao manara alisema ndio wenye akili
Sio uwelewa dogo, sema uelewa, haya rudia sema uelewa!Endelea kuwa mtaalam wa spelling..ni ujinga kudeal na spelling kwenye maandishi..ni ishara ya uwelewa mdogo pia