Hawa wazeee wa Yanga watahazarishe naona watabeshwa mzigo mzito

Hawa wazeee wa Yanga watahazarishe naona watabeshwa mzigo mzito

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vipi.

Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha.

Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3 kwa 1 naona Yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
 
Hapo vip!!

Kwa mpira waleo...siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kiskari na presha..

Kwa mpira wa leo waliocheza Simba zidi ya Apr ilyoifunga yanga juzi bao 3 kwa 1..naona yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
Ulivyoandika zidi, ndio nimejua IQ yako.
 
Hapo vip!!

Kwa mpira waleo...siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kiskari na presha..

Kwa mpira wa leo waliocheza Simba zidi ya Apr ilyoifunga yanga juzi bao 3 kwa 1..naona yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
naichukia yanga kwasababu ni ya kidini, wameifanya ni timu ya waislam tu, ndio maana hata jana hawakuta hata mchungaji. ila ukweli usemwe, simba wakicheza kwa kiwango kile watafungwa mengi sana na yanga.
 
Simba wao sio ya kidini? Kafuatilie dua iliyofanyika majuzi ikiongozwa na Mangungu kama kulikuwa na padri, askofu, mchungaji wala mtumishi.
 
IQ yangu ni kubwa kuliko wanayanga wote changanya na wale wawili ambao manara alisema ndio wenye akili
Marekebisho, uto tunao watu watatu wenye akili Mtani, umemsahau Mzee Magoma, naona hesabu ulidoji skuli!!
 
Back
Top Bottom