Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

Mnawasifia wasafi badala ya kumsifia director ?

Kwa sasa hapa nchini kuna vijana wazuri sana kwenye kudirect na kuproduce videos.kwa uchache wao tu
1 hanscana
2 Dr eddy
3 Bosco Jr
4 kwetu studios
Nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Walichokuwa wanakihitaji hakipo kwa hao madirector uliowataja, vile vile sio lazima kila video ifanywe na directors wa ndani, kuna msururu wa videos walizofanya na hao unaowataka, je umewahi kuwasifia kwa hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisema kweli hawa vijana ni wabunifu. Ndio maana nzima ya sanaa. Hebu check video ya jibebe kuanzia sound, color mixing mpaka kwenye lighting.

Wewe jamaa wa Illuminati ,WCB inabidi wawe makini sana na wewe.
 
Hata hujaelewa comment yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wewe pia hukuwa unajua ulichokiandika, kumsifia director ni jambo moja, director kuonekana mkali kwenye wimbo mkali ni jambo lingine, unadhani Hansana anaweza kudirect video ya wanafunzi wakiimba wimbo wa taifa ikawa kali kama aliyodirect ya Marioo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
```Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.

Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*

Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'

.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......

Pesa iko na power mingi😂😂😂
 
Back
Top Bottom