Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea kabisa. Yaani hiyo nyimbo inafanyiwa promo kisa wcb wameimba. Sipati picha angeimba chege, hata karume isingefika```Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.
Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*
Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'
.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......
Pesa iko na power mingi[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂```Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.
Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*
Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'
.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......
Pesa iko na power mingi😂😂😂