Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

Sijui mm ndo sijaelewa huu wimbo mbovu kupitiliza, sioni maana, diamond anajua kuimba lakini kwa wimbo huu hakuna kitu.
 
```Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.

Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*

Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'

.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......

Pesa iko na power mingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujakosea kabisa. Yaani hiyo nyimbo inafanyiwa promo kisa wcb wameimba. Sipati picha angeimba chege, hata karume isingefika
 
```Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.

Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*

Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'

.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......

Pesa iko na power mingi😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom