Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnawasifia wasafi badala ya kumsifia director ?
Kwa sasa hapa nchini kuna vijana wazuri sana kwenye kudirect na kuproduce videos.kwa uchache wao tu
1 hanscana
2 Dr eddy
3 Bosco Jr
4 kwetu studios
Nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Walichokuwa wanakihitaji hakipo kwa hao madirector uliowataja, vile vile sio lazima kila video ifanywe na directors wa ndani, kuna msururu wa videos walizofanya na hao unaowataka, je umewahi kuwasifia kwa hilo?Mnawasifia wasafi badala ya kumsifia director ?
Kwa sasa hapa nchini kuna vijana wazuri sana kwenye kudirect na kuproduce videos.kwa uchache wao tu
1 hanscana
2 Dr eddy
3 Bosco Jr
4 kwetu studios
Nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa wa Illuminati ,WCB inabidi wawe makini sana na wewe.Kisema kweli hawa vijana ni wabunifu. Ndio maana nzima ya sanaa. Hebu check video ya jibebe kuanzia sound, color mixing mpaka kwenye lighting.
Hata hujaelewa comment yanguWalichokuwa wanakihitaji hakipo kwa hao madirector uliowataja, vile vile sio lazima kila video ifanywe na directors wa ndani, kuna msururu wa videos walizofanya na hao unaowataka, je umewahi kuwasifia kwa hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samehe mara 70 huo uzungu sijaumbiwa....bora ajibebe tu....mpe pole sana bwana ndagushimaUkishakula vya watu baada ya kushiba ukajidai kuhama, unaoza koo...
Basi wewe pia hukuwa unajua ulichokiandika, kumsifia director ni jambo moja, director kuonekana mkali kwenye wimbo mkali ni jambo lingine, unadhani Hansana anaweza kudirect video ya wanafunzi wakiimba wimbo wa taifa ikawa kali kama aliyodirect ya Marioo?