Hawa: Wimbo wa 'Nitarejea' wa Diamond nauchukia sana, Umeniharibia maisha yangu

Hawa: Wimbo wa 'Nitarejea' wa Diamond nauchukia sana, Umeniharibia maisha yangu

5715307542ce4b3ca6d94014dcaea4d1.jpg


Mungu wangu! Huyu Dada amefikia hatua hii?
 
Anaitwa mwana hawa
Vumilia tu dada maaana
Hakuna namna
 
Huu udhalilishaji wa hali ya juu.
Hivi kweli tumekuwa watu wa hovyo kiasi hiki?
Mkuu mimi nimesikitika sana,,kumsitiri binadamu mwenzetu haihitaji elimu wala imani,,namlaumu sana aliepiga hii picha,,haifurahishi wala kudraw positive attention..Ila in any action there is an equal and opposite reaction..."what goes around will come around""
 
Mimi niliona hata Mkuu wa mkoa flani anapigwa picha akiwa anasali kwa huzuni ya nafsi yake watu wakampiga picha..Nikajiuliza mtu anapata wapi mda wa kupiga picha katikati ya ibada??? Alienda kusali au kuangalia watu?? Hivi huwa tunaamini MUNGU anajumuika kwenye ibada.?? Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya jinai ya namna hio??
 
Pole Hawa! Mungu ni mwema atakuponya.
 
Kwa sisi wabongo tunachukulia kupewa msaada kama kitu cha lazima...
Hapo sasa yani eti kisa mtu alikushirikisha basi eti ni lazima akusaidie kwani ni lazima.
Mtu kutoa msaada haijalishi ana pesa kama Floyd ni uamuzi wake wala haina haja ya kumlaumu maana wakati anazisaka hakuna aliye msaidia.
 
Watanzania mnapenda vya dezo
..shauri zenu mtapum******
 
Back
Top Bottom