Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tumeshazoea ujamaa kiasi kwamba kusaidiwa unaona ni haki yako ya msingi.
Alitaka asaidiwe kulea mimba iliyokataliwa ama
kwel mkuuWatanzania tumeshazoea ujamaa kiasi kwamba kusaidiwa unaona ni haki yako ya msingi.
Mm ni napenda kazi anazo fanya diamond na kila kitu kuhusu mzk wake lakini kwa hili hapa diamond amkumbuke huyo Hawa! Hayo malalamiko hayajaanza leo toka kipindi kile diamond ameenda "zizu fashion" kununua nguo na ana mkuta hawa akiwa anauza nguo huku akiimba,siku ya pili tena diamond anarudi anamkuta tena Hawa
ndipo anampenda na kuomba kufanya nae kazi Hawa bila hiyana anakubali na kufanya nae wimbo wa nitarejea wakaenda mbali zaidi wakaingia kwenye mauhusiano( kipindi kile haikuvuma coz diamond alikuwa bado hajawa diamond wa sahizi) ndipo diamond anafanya nae ngono huyu dada
,wakawa na show sikumbuki ni show gani kama sio kil.awards bas BSS kwenye mazoezi diamond alikuwa hata hampi nauli huyo dada ya kufikia mazoezini kila kitu Hawa alifanya kwa gharama zake katika maandalizi yote ya show kwenda na kurudi! Wakafanya bonge moja la show lakini Hawa hakuambulia hata sent ya malipo ya show! Ikawa kama kafanya bure hivi sijui kwann diamond alimfanyia hivyo sijui kwa vile dada alikuwa underground bado sijajua....
ikafika kpindi diamond akamuacha Hawa kimapenzi na kimziki na sahizi venyewe yupo na Zari sijui kama atakua ana mkumbuka Hawa lakini diamond kwa hili akumbuke aliko toka amkumbuke hawa tuache unafiki basi hata bila hvyo amlipe kwa kazi walio fanya hata kama ni elfu hamsini maana hawa hajaambulia chochote zaidi ya kuwa nae kimahusiano!

Maelezo ya mtu mwenye fake I'd siwezi kuyaamini.na isitoshe hayana source.source from fake I'd hapana
Source nikupe leo issue ya zamani hii ww diamond umemfaham jana unakuja sumbua hapa fuatilia mambo
Mm nduki back to MAN U
Mkuu matokeo vipi?
Maelezo ya mtu mwenye fake I'd siwezi kuyaamini.na isitoshe hayana source.source from fake I'd hapana
Man u kashinda 4 kwa mbili
![]()
Unakumbuka Video ya Nitarejea ya Diamond? Basi yule msichana aliyeshirikiana naye katika huo wimbo hali yake si nzuri kisanii na kimaslahi pia kiasa cha kusema kuwa anauchukia huo wimbo kwani ndo umemuharibia MaishaHawa akihojiwa na Mlimani TV amefunguka na kusema kuwa Pamoja na Wimbo huo kuwa ndio uliomtoa Diamond Kimuziki lakini Diamond hakuwahi kumpa Hata Shiling 10 , Japo ameshawahi kumfuata na kumuomba msaada wakati tofauti tofauti lakini haikuwezekana kupata huo msaada ....Hawa amesema alitegemea nae angetoka lakini ameishia kuwa na maisha ya Dhiki huku mwenzake akitengeneza Hela za Maana ..
Alipoulizwa Kuhusu tuhuma za kutumia Madawa ya Kulevya baada ya kuona mambo hayaendi vizuri Hawa amesema hakuwahi kutumia Madawa ya Kulevya bali alijiingiza katika unywaji wa pombe sana baada ya Mwanaume aliyempa Mimba Kumkimbia hivyo alianza matumizi ya pombe kupunguza Mawazo ..
Hawa anasema Hamchukii Diamond ila Anapenda kumwambia akumbuke alipotoka na Arejee Nyumbani....