ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Mkuu mimi nimesikitika sana,,kumsitiri binadamu mwenzetu haihitaji elimu wala imani,,namlaumu sana aliepiga hii picha,,haifurahishi wala kudraw positive attention..Ila in any action there is an equal and opposite reaction..."what goes around will come around""Huu udhalilishaji wa hali ya juu.
Hivi kweli tumekuwa watu wa hovyo kiasi hiki?
Mbona zari ana hela na mimba kapewa na wanaume [emoji3]Dimondi mlipe dada hawa mkwanja wake,ungemlipa hela hiyo asingebabaika na wanaume mpaka wamempa mimba,mlipe fedha zake za kolabo,ni kama Nelly na Kelly Dillema ule wimbo wote wanafaidika ila wewe unafaidika peke yako tu.
Chibu hajarejea bado?
Sasa umri wa Hawa ndio wa kuwa na mtoto sasa? Hawa ilitakiwa awe anasoma mda huu.....Zari ni sahihi ilitakiwa awe na wajukuu mda huu,sasa ulitaka zari hasiwe na mtoto wakati anakaribia menopause?Mbona zari ana hela na mimba kapewa na wanaume [emoji3]
Hapo sasa yani eti kisa mtu alikushirikisha basi eti ni lazima akusaidie kwani ni lazima.Kwa sisi wabongo tunachukulia kupewa msaada kama kitu cha lazima...