Hawaamini macho yao

Akipandishwa tu huyu mama wa Samia Suluhu, nae anakula u brigedi jenerali.. nahisi amekaa nacho kama miaka mitatu. Maana yule hakukaa nae sana
Wa mama samia ni kanali tayari mzee wampandishe cheo gani mkuu.unamkumbuka mkelemi amekaa na ukanali miaka mingapi unajua?
 
Mkuu Kuna mambo ulio eleza nakubalina na wewe ila mengine yanaukakasi kidogo.
 
So sad (very sad) kwa mtu mliye mzoea..

Mungu awape Moyo/Roho zenye kuhimili...
Life always begin (goes on)....
 
Wa mama samia ni kanali tayari mzee wampandishe cheo gani mkuu.unamkumbuka mkelemi amekaa na ukanali miaka mingapi unajua?
Sikufahamu kama wa mama tayari ni Kanali. All in all namuombea jamaa asichelewa kuwa Brigedia Gen.
 
Wametenda kazi yao kw uadilifu mkubwa.....
Walikua kwenye majukumu ya kazi..sasa wataenda kwenye majukumu mengine na maisha yatasonga.
Bravo
 
Mchezo huu umeanzia nje...hili suala linazunguka kwa watu wa usalama tu.
Ndio maana ulisikia mzee mwenyewe alikiri day one kuwa anaiacha nchi yake aipendaye na hawezi toboa
Hii nimeiskia kwako, lakini pia nimeisikia kwa watu watu wegine. Jamaa alikuwa na vita kubwa sana na hata alivyosema ameyatoa maisha yake ni 100%. Kweli.
 
Hii nimeiskia kwako, lakini pia nimeisikia kwa watu watu wegine. Jamaa alikuwa na vita kubwa sana na hata alivyosema ameyatoa maisha yake ni 100%. Kweli.
Pamoja na makosa mengi ya JPM alijitoa muhanga huku akijua anachukiwa na wengi kwa maamuzi yake, akitamani aone kitu kikifanyika, Tanzania mpya.
Na uharaka wa kufanya mambo ni kiashiriavtosha alijua hana muda.
Nani aliwahi kuwapinga mabeberu akaishi?
Hili nalo gumu kung'amua kilichotokea?
Kadiri siku zinavyosogea tutajua mengi
 
Hii nimeiskia kwako, lakini pia nimeisikia kwa watu watu wegine. Jamaa alikuwa na vita kubwa sana na hata alivyosema ameyatoa maisha yake ni 100%. Kweli.
Tatizo watu walikuwa wanakejeli pale mwamba aliposema tupo kwenye vita ya kiuchumi.

Mnakumbuka kipindi flani alipata kusema kuwa kuna watu wazito wanaompangia ya kufanya? Hadi akasema mimi ni jiwe, sipangiwi?. Nisiandike mengi, naomba niishie hapa.
 
Upo sawa kabisa. JPM alisema anajua mengi sana, shida watu wamelala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…