Hawaamini macho yao

Hawaamini macho yao

Akipandishwa tu huyu mama wa Samia Suluhu, nae anakula u brigedi jenerali.. nahisi amekaa nacho kama miaka mitatu. Maana yule hakukaa nae sana
Wa mama samia ni kanali tayari mzee wampandishe cheo gani mkuu.unamkumbuka mkelemi amekaa na ukanali miaka mingapi unajua?
 
Hivi mkuu hadi sasa hujui kuwa covid19 ni mtaji?
1. Mashine za kupimia
2. Sanitizer
3. Barakoa

A. JPM alisema vinatoa majibu ya uongo na kweli tulishuhudia mataifa mengine yakifanya uchunguzi na kukiri
B. Arakoa ameziga vita mara ngapi?

C. Walikataa chanjo

Bila shaka wenye biashara zao walifurahi kuharibiwa soko sio?

Note: ugeni wa Waziri wa mambo ya nje wa China hadi Chato alikuja kucheza sio????
Mkuu Kuna mambo ulio eleza nakubalina na wewe ila mengine yanaukakasi kidogo.
 
So sad (very sad) kwa mtu mliye mzoea..

Mungu awape Moyo/Roho zenye kuhimili...
Life always begin (goes on)....
 
Wa mama samia ni kanali tayari mzee wampandishe cheo gani mkuu.unamkumbuka mkelemi amekaa na ukanali miaka mingapi unajua?
Sikufahamu kama wa mama tayari ni Kanali. All in all namuombea jamaa asichelewa kuwa Brigedia Gen.
 
Mchezo huu umeanzia nje...hili suala linazunguka kwa watu wa usalama tu.
Ndio maana ulisikia mzee mwenyewe alikiri day one kuwa anaiacha nchi yake aipendaye na hawezi toboa
Hii nimeiskia kwako, lakini pia nimeisikia kwa watu watu wegine. Jamaa alikuwa na vita kubwa sana na hata alivyosema ameyatoa maisha yake ni 100%. Kweli.
 
Hii nimeiskia kwako, lakini pia nimeisikia kwa watu watu wegine. Jamaa alikuwa na vita kubwa sana na hata alivyosema ameyatoa maisha yake ni 100%. Kweli.
Pamoja na makosa mengi ya JPM alijitoa muhanga huku akijua anachukiwa na wengi kwa maamuzi yake, akitamani aone kitu kikifanyika, Tanzania mpya.
Na uharaka wa kufanya mambo ni kiashiriavtosha alijua hana muda.
Nani aliwahi kuwapinga mabeberu akaishi?
Hili nalo gumu kung'amua kilichotokea?
Kadiri siku zinavyosogea tutajua mengi
 
Hii nimeiskia kwako, lakini pia nimeisikia kwa watu watu wegine. Jamaa alikuwa na vita kubwa sana na hata alivyosema ameyatoa maisha yake ni 100%. Kweli.
Tatizo watu walikuwa wanakejeli pale mwamba aliposema tupo kwenye vita ya kiuchumi.

Mnakumbuka kipindi flani alipata kusema kuwa kuna watu wazito wanaompangia ya kufanya? Hadi akasema mimi ni jiwe, sipangiwi?. Nisiandike mengi, naomba niishie hapa.
 
Upo sawa kabisa. JPM alisema anajua mengi sana, shida watu wamelala sana
 
Back
Top Bottom