Hawaamini macho yao

Hivi hawa watu walikuwa wanapata muda wa kuona familia zao?

Mie ndo kwanza nawaona wamekaa leo,(natania). Ila nawaombea kwa Allah awape nyoyo za subra kipindi hiki. Mie tu niliyekuwa namuona JPM kwenye runinga nimeumia hivi, je wao wana hali gani?.
 
Nilikaa Geto, Chozi likatoka mzee, Hakika kivyovyote kwa aliehusika lazima ibackfire haswa wa interior ntakuwa wa mwisho kuamini kuwa mzee amefariki na magonjwa, amelijitoa mhanga kweli kweli na amefanya makubwa sana bila hofu yoyote
 
Acha kabisa mkuu.
Laiti tungeiona video mzee alivyotaabika nafikiri tungebeba mapanga kwa uchungu.
Inasemekana walishtushwa kukuta kifaa kilichokuwa kinamsaidia kimesambaratika kabisa
Mmmh[emoji848][emoji848]
 
Duu, hatari sana jamani, ni Kama kuku kachukuliwa na mwewe kaacha vifaranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…