Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mheshimiwa aliteswa?Hawa waheshimiwa wameumia sana kwani JPM alikuwa sehemu ya maisha yao.
Kibaya zaidi wameshuhudia mateso ya boss wao live
Acha kabisa mkuu.
Laiti tungeiona video mzee alivyotaabika nafikiri tungebeba mapanga kwa uchungu.
Inasemekana walishtushwa kukuta kifaa kilichokuwa kinamsaidia kimesambaratika kabisa
Na ugonjwaKwani mheshimiwa aliteswa?
Kwani wachina wamefanyejeHuyu mwamba nasikia nasikia dakika za mwisho kaumia sana...
Wachina pumbavu zao
Kufa kufaana sasa ni zamu ya walikuwa walinzi wa makamu wa rais ambaye ndio ndio rais sasa ndio maisha yalivyo.Hawa waheshimiwa wameumia sana kwani JPM alikuwa sehemu ya maisha yao.
Kibaya zaidi wameshuhudia mateso ya boss wao live
Sio Leo lakini maana hicho amekaa nacho mwaka mmoja ama miwili hiviWa kulia atapandishwa kuwa Brig. General
Na maumivu ya moyo, hadi umauti unamkuta. 😭😭😭Kwani mheshimiwa aliteswa?
Sio lazima uwe promotedJukumu la kumrinda Rais ni zito, na ukamaliza salama lazima uwe promoted. Wengi wao imekuwa hivyo
Kwli mkuuKufa kufaana sasa ni zamu ya walikuwa walinzi wa makamu wa rais ambaye ndio ndio rais sasa ndio maisha yalivyo.
Akipandishwa tu huyu mama wa Samia Suluhu, nae anakula u brigedi jenerali.. nahisi amekaa nacho kama miaka mitatu. Maana yule hakukaa nae sanaSio Leo lakini maana hicho amekaa nacho mwaka mmoja ama miwili hivi
Ndio sio lazima, ila wengi wao waliomaliza majukimu yao ya kumlinda Rais walikuwa promoted.Sio lazima uwe promoted
Ngusa samike mpaka amepungua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1731974
Ukitazama walinzi wa JPM wengi walikuwa wana miili nyumba. Mijitu hiyoo tazama vizuri utaelewa kwanini waliamua iwe hivyo. Huyo Jamaa bonge huo mwili ni kwa kazi maalumu kama hujuiTena washukuru,maana kama Huyo bonge jukumu lake anatakiwa afe kabla ya JPM iwapo ingetokea shambulio lolote.
Sure jamaa amepungua sana, mwana wake wa karibu kabisa amemtoka ghafla..Ngusa samike mpaka amepungua
Hivi mkuu hadi sasa hujui kuwa covid19 ni mtaji?Kwani wachina wamefanyeje
Khaa. Ina maana Mzee kauwawa? 😢Acha kabisa mkuu.
Laiti tungeiona video mzee alivyotaabika nafikiri tungebeba mapanga kwa uchungu.
Inasemekana walishtushwa kukuta kifaa kilichokuwa kinamsaidia kimesambaratika kabisa