Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)

Sijui kama kulikuwa na intervation yao lakini kwa nyumba ikawa ni vurugu mechi, mke akaamua kuondoka pamoja na mtoto.

Mke nae kaona yaishe tu, Ni msomi mwenye degree yake anaejua divorce procedures na suala la kugawana mali, Hapo sasa kwenye kugawana mali kumekuwa na mzozo mkubwa sana wa ndugu wa upande wa mume kuchukia endapo jambo hilo litafanyika.

Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote kwa pupa, wamepoteza mtoto wa kaka yao, ndoa ya kaka yao na mali za kaka yao zinaenda kutandikwa pasu kwa pasu.
 
Mtoto amefariki mpaka useme wamempoteza?
Mwanaume ndio mzembe kwa kukubari ndugu waingilie maisha yake na mkewe.
 
Hapo mali zilizopatikana wakiwa ndani ya ndoa ndo watagawana, alizozikuta hazitahusika.

Mtoto hapo sijui au tumuulize jakilinyi wa mengi
Mali nyingi huwa zinaishia kupigwa pasu kwa pasu tu, Mahakama zina jicho la huruma kwa wanawake.

Mali zisizohusika labda ziwe za urithi ama zawadi zenye ushahidi wenye vielelezo vya kutosha
 
Nadhani kama ndoa haikuepo hakuna cha kugawana
 
Mali anazozikuta mke kama ulitafuta mwenyewe zinaingia kwenye mgao

Mali ambazo hazihusiki ni Mali za kurithi au kama ulipewa zawadi(grants) na mtu

Rejea sheria vizuri
Sheria gani hiyo mkuu.... Katika ndoa kila mtu anahaki ya kumiliki mali zake mojawapo ni mali kabla ya ndoa
 
Pitia vifungu vya sheria acheni kuskiliza stori za vijiweni.... Naongea kutokana na experience
najua pia kutokana na experience.
hata zile zilizopatikana ndani ya ndoa mahakama inaangalia mchango wa kila mmoja kwenye kuchangia upatikanaji wa hiyo mali.Mwanandoa anaweza kupata hadi asilimia kumi ikiwa mchango wake ulikuwa wa hiyo asilimia kumi ktk upatikanaji wa mali husika.
Acha habari za vijiweni mkuu za nusu kwanusu.
 
Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)

Sijui kama kulikuwa na intervation yao lakini kwa nyumba ikawa ni vurugu mechi, mke akaamua kuondoka pamoja na mtoto.

Mke nae kaona yaishe tu, Ni msomi mwenye degree yake anaejua divorce procedures na suala la kugawana mali, Hapo sasa kwenye kugawana mali kumekuwa na mzozo mkubwa sana wa ndugu wa upande wa mume kuchukia endapo jambo hilo litafanyika.

Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote kwa pupa, wamepoteza mtoto wa kaka yao, ndoa ya kaka yao na mali za kaka yao zinaenda kutandikwa pasu kwa pasu.

Huyo ni mume bwege au kivuli? Maan waongelea mitazamo ta ndugu kuliko mume
 
Tatizo nini hapo?
 
Ivi mgawanyo wa Mali ni mpka muwe mlifunga ndoa au hata kama mlizaa bila ndoa?

Na je kama mlipata watoto maybe wawili inakuaje kwenye malezi means makao ya watoto kati ya hizi pande mbili.
 
Back
Top Bottom