Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Lissu alimiminiwa risasi zaidi ya mnyama kipindi cha utawala wa Magufuli ambaye ni mkiristo mkatoliki.Uliowataja wapo chini ya nani ?
Nchibi yupo wapi aliemfanya hivyo ni nan?
Watu zaidi ya 500 walikufa kwa kupigiwa lisasi majumbani mfano master tindwa.
Alietoa Amri ni nani kama Amiri jeshi mkuu watu wauliwe?
Uwajibikaji upo wapi?
Muuaji kwang namchukia sana .
Kama unaijua Dini ya kislamu huwezi kuwa Mwislamu .
Vitendo vya utekaji, mauaji na kupotezwa kwa watu yaliyofanyika kipindi cha jiwe. Je, matendo ya mtu tuyaingize na dini yake? Kwamba anafanya ukatili ule kwasababu ya dini yake?