Lissu alimiminiwa risasi zaidi ya mnyama kipindi cha utawala wa Magufuli ambaye ni mkiristo mkatoliki.Uliowataja wapo chini ya nani ?
Nchibi yupo wapi aliemfanya hivyo ni nan?
Watu zaidi ya 500 walikufa kwa kupigiwa lisasi majumbani mfano master tindwa.
Alietoa Amri ni nani kama Amiri jeshi mkuu watu wauliwe?
Uwajibikaji upo wapi?
Muuaji kwang namchukia sana .
Kama unaijua Dini ya kislamu huwezi kuwa Mwislamu .
Nani alikuambia wameanza matanga! Wao walisema msiba utaanza baada ya hukumu, maadamu umeamua kuifurahisha roho yako kwa kudanganya yote ni kheri tu.Wandugu hapa kuna maana kubwa sana kiroho.
Ndugu wa Lissu wasema hawamalizi matanga ya kaka yake Lissu aliyefariki .
wanapoamua kuhusisha msiba na kesi ya Lissu ni laana .
Kifupi roho ya marehemu itawasumbua viongozi wa Tanzania wasipokuwa makini.....
Nauliza tu je MZEE ALUTE SI ALIKUWA CCM JE WATAKWENDA NA JEZI ZAO NA GREE GURD WATAKUWEPO NA KUONGEA AU ITAKUWAJE NAWAZA PEKE YANGU MIE MTU WA CHINI KABISAANi gharama kuishi kwenye taifa lenye uongozi kama wa Tanzania
Acha kupangia familia mambo yao. Edgar Lungu alikaa Mochwari South mwaka mzima.Wanaachaje kumpumzusha Marehemu kesa eti ni kusubiri hukumu? Na vipi hiyo hukumu ikasogezwa mbele Kwa dharura zisizozuilika?
Haki ya Marehemu ni kupumzushwa. Sio kuendelea kuwekwa kwenye majokofu!
Ngoja tuone.Nauliza tu je MZEE ALUTE SI ALIKUWA CCM JE WATAKWENDA NA JEZI ZAO NA GREE GURD WATAKUWEPO NA KUONGEA AU ITAKUWAJE NAWAZA PEKE YANGU MIE MTU WA CHINI KABISAA
Inawezekana wanataka Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa basi wawazike wote kwa pamoja wapuguze na gharama za kuendesha misiba miwili ndani ya muda mfupi.Wandugu hapa kuna maana kubwa sana kiroho.
Ndugu wa Lissu wasema hawamalizi matanga ya kaka yake Lissu aliyefariki .
wanapoamua kuhusisha msiba na kesi ya Lissu ni laana .
Kifupi roho ya marehemu itawasumbua viongozi wa Tanzania wasipokuwa makini.....
Duh hv lissu alipigwa risasi 16 kipindi cha utawala gn nimesahau nikumbushe,walio mfuta ubunge ni spika nani vile nimesahau aiseeUliowataja wapo chini ya nani ?