britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Siandiki kishabiki napima na sikurupuki,
PM zimeanza Kujaa kwa kifupi
Urusi Nina Mke , Yaan mama yenu ni Mrusi Irina KOMOVA na mpaka jana ndo nimelazimika kumtoa huko ili hali inayoendelea ya ugumu wa maisha,
Nimezitembea nchi Zote hizo na nimekaa uzuri nimekaa Urusi Saratov Miaka 3 na Rostov oblast 2 alafu MOSCOW 1 na Transnitria 1,
Kwa Urusi na Ukraine nazijua sana ! Nina taarifa nyingi acha ma publications ya CNN sijui CCTV sijui BBC Au RT , I talk from the ground,
Kama hunipendi Nipo sana hapa
Habari za huku mtazipata sana
Namalizia Kwa Kuwapongeza CCM NA COMRADE KINANA,
Baadae ntawapa taarifa za North Korea have been there twice 2016 na 2021 Kwa 2021 ndo nimekaa sana Kwa kazi zetu maalumu.
- Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika
Na hii
- North Korea Night life/Maisha ya Usiku Korea Kaskazini Msidhani kuna Misambwanda
Have a good day