Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Leo mnaanza saa ngapi!?Acha uwongo wewe kenge.
Inawezekana upo in late 50s halafu unajifanya Gen Z π€‘
Nop, leo tunakuja hapo ghetto kwa basha wako kukukamata tukurudishe home πLeo mnaanza saa ngapi!?
Ulishasema mimi ni mzee wa miaka 50, unachokiharisha hapa hata hakiendani na ulichokisema.Nop, leo tunakuja hapo ghetto kwa basha wako kukukamata tukurudishe home π
Faza ako analalamika anasema kijana umeharibikiwa, na home umehama.
Pumbav!Ulishasema mimi ni mzee wa miaka 50, unachokiharisha hapa hata hakiendani na ulichokisema.
ππππ
Bila shaka wewe role model wako ni yule mcheza kamari, mfikishie salamu, mwambie HATOSHI KUTUVURUGIA TAIFA, aendelee kuwekeza nguvu zake na muda wake kwenye betting.
Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANIHabari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo.
Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko tunayoyahitaji, wanaharakati uchwara watatuharibia nchi yetu. Tunahitaji wanaharakati na wanasiasa wazalendo.
Kijana ambaye anaendesha maisha yake kwa kucheza kamari hatoshi kutuongoza kwenye mabadiliko tunayoyahitaji, kijana anayeongoza maisha yake kwa kucheza kamari atacheza kamari na maisha yetu.
Kijana ambaye yupo uhamishoni hatoshi kutuletea mabadiliko tunayoyahitaji, kwasababu hawezi kujali endapo taifa letu litavurugika.
Salamu ziwafikie, HAWATOSHI KUTUFANYA TUKAVURUGA TAIFA LETU.
Mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu wazalendo, mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu sahihi, mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu waliopo mahali sahihi, sio uhamishoni.
Chief ubarikiwe sana,umesema kweli tupu, wapenda amani tupo pamoja na weweHabari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo.
Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko tunayoyahitaji, wanaharakati uchwara watatuharibia nchi yetu. Tunahitaji wanaharakati na wanasiasa wazalendo.
Kijana ambaye anaendesha maisha yake kwa kucheza kamari hatoshi kutuongoza kwenye mabadiliko tunayoyahitaji, kijana anayeongoza maisha yake kwa kucheza kamari atacheza kamari na maisha yetu.
Kijana ambaye yupo uhamishoni hatoshi kutuletea mabadiliko tunayoyahitaji, kwasababu hawezi kujali endapo taifa letu litavurugika.
Salamu ziwafikie, HAWATOSHI KUTUFANYA TUKAVURUGA TAIFA LETU.
Mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu wazalendo, mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu sahihi, mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu waliopo mahali sahihi, sio uhamishoni.
Acha kutumika kiboya!!!Pumbav!
Lazima tuje kukukamata tukurudishe home. Mzee una laana wewe π€‘
Maandamano ni vurugu ??Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo.
Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko tunayoyahitaji, wanaharakati uchwara watatuharibia nchi yetu. Tunahitaji wanaharakati na wanasiasa wazalendo.
Kijana ambaye anaendesha maisha yake kwa kucheza kamari hatoshi kutuongoza kwenye mabadiliko tunayoyahitaji, kijana anayeongoza maisha yake kwa kucheza kamari atacheza kamari na maisha yetu.
Kijana ambaye yupo uhamishoni hatoshi kutuletea mabadiliko tunayoyahitaji, kwasababu hawezi kujali endapo taifa letu litavurugika.
Salamu ziwafikie, HAWATOSHI KUTUFANYA TUKAVURUGA TAIFA LETU.
Mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu wazalendo, mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu sahihi, mabadiliko tunayoyataka yataletwa na watu waliopo mahali sahihi, sio uhamishoni.
Anachosema ni kweli, Na kwa rasilimali Zinazochezewa, Baadhi anavyosema ni bare minimum.
Kwakuwa yeye anavipata vyote hivyo haoni sababu ya kuingia barabarani kuandamana.Anachosema ni kweli, Na kwa rasilimali Zinazochezewa, Baadhi anavyosema ni bare minimum.
Kama mambo ya bima za afya, Umeme kukatika na Government schools.
Ingia road, acha kupoteza muda humu!Wewe mzee mwenye laana lazima tuje kukukamata hapo kwa basha wako tukurudishe home.
Msikilize faza ako hudi home wewe kenge.
Ona sasa unajichekesha bila kuchekeshwa.Ingia road, acha kupoteza muda humu!
πππ