Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuchekesha Ni kazi ngumu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana ehh, njaa ni adui mbaya sanaWatu wanalazimisha wakati hata muonekano unakataa kuchekesha.
Umeona eehKatika dakika nane za upuuzi, ni sentensi ya mwisho tu ndio angalau inaonesha wanajaribu kuigiza kuchekesha.
Wangejifunza kwa wenzao wa kenya. Mimi zamani eti mc pilipili nae alikuwa ananichekesha[emoji848][emoji848][emoji848] siku moja nikiwa naperuzi kwenye video zake youtube nikaona moja ya churchill show nikaifungua kama bahati mbaya tu. Ile intro song yake ikanivutia nikapiga kambi (ilikuwa ya erick omondi) aisee kuanzia hapo msanii wa tanzania anayenifurahisha nadhani ni Charlie Chaplin [emoji38][emoji38][emoji38] hao wengine siwaelewi. Kwa mbali chalii ya R alikuwa anajitahidi ila nae sasa hivi kapoa. Kuna wale wanaojiita wanyabi nao siku hizi ni matusi tuKuchekesha kipaji aisee.... na huu ugumu wa maisha hawa comedians wetu kazi wanayo
Kuna jamaa wanaitwa @victazaa a.k.a electronic kitambo na @wakusmarta kawacheki Insta hutajutia MB zako.Wangejifunza kwa wenzao wa kenya. Mimi zamani eti mc pilipili nae alikuwa ananichekesha[emoji848][emoji848][emoji848] siku moja nikiwa naperuzi kwenye video zake youtube nikaona moja ya churchill show nikaifungua kama bahati mbaya tu. Ile intro song yake ikanivutia nikapiga kambi (ilikuwa ya erick omondi) aisee kuanzia hapo msanii wa tanzania anayenifurahisha nadhani ni charlie chaplin [emoji38][emoji38][emoji38] hao wengine siwaelewi. Kwa mbali chalii ya R alikuwa anajitahidi ila nae ssahv kapoa. Kuna wale wanaojiita wanyabi nao siku hizi ni matusi tu
Dah nmecheka sana kwa comment hiiHaya ni kuyapeleka tu huko maporini yakalime Tanzania iwe food basket EA
Kiukweli kwa upande wangu mim, hajawah tokea mchekeshaji mkubwa na wakipekee kama charlie Spencer Chaplin,, ninaipenda kazi ya huyu bwana,, fikiria ilkua ni kipind cha silent films yaan kimya kimya matendo bila sauti yanakuvunja mbavu,,Wangejifunza kwa wenzao wa kenya. Mimi zamani eti mc pilipili nae alikuwa ananichekesha[emoji848][emoji848][emoji848] siku moja nikiwa naperuzi kwenye video zake youtube nikaona moja ya churchill show nikaifungua kama bahati mbaya tu. Ile intro song yake ikanivutia nikapiga kambi (ilikuwa ya erick omondi) aisee kuanzia hapo msanii wa tanzania anayenifurahisha nadhani ni Charlie Chaplin [emoji38][emoji38][emoji38] hao wengine siwaelewi. Kwa mbali chalii ya R alikuwa anajitahidi ila nae sasa hivi kapoa. Kuna wale wanaojiita wanyabi nao siku hizi ni matusi tu