Hawezi fanya mapenzi bila kupaka mafuta

Kuna matatu....
1. Hujui shughuli
2. Hakufeel kabisa
3. Ni khanithi huyo mpenzio
 
KY Jelly watumie nadhani itasaidia kuondoa hiyo shida ya ukavu na utelezi utapatikana.
 
Mwambie apende kutumia kachumbari kwa wingi na atumie asali mbichi mara nyingi awezavyo kwa kulamba pia kuna majani ya mlenda pori yanalainisha sehem u hizo
 
Inaonekana humuandai vya kutosha,kisaikolojia na kihisia
 
Kwa ushauri nasaha mlete kwa dady 1000 atamponya kwa siku mbili nadni ya masaa 48 atapona na mlenda utakuwa umerudi kabisa kwani tesy yangu balaaaa ukipuuzia kamuone dactari
 
nenda jf dr...
mkiambiwa mle nyanya chungu (ngogwe) oohh., sili dawa ya malaria
haya safar njema..
 

labda na wewe huwa unakuwa na cold penis! you cant know!

 
Ajiandae mwenyewe kisaikolojia

Wewe umuandae vizuri kwa muda wa kutosha

Kama huwa anaunga "K" mwambie aache

Mkishindwa waoneni wataalam au tumieni lubricant kama preseed au durex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…