Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
huenda maumbile yake, je ukitumia mafuta anaenjoy?
!
huenda maumbile yake, je ukitumia mafuta anaenjoy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani marinda ndo nini mbona sielewi
no wonder we ni kilaza
Mkuu kama kuna garage karibu yako mpeleke fundi anaweza kugundua tatizo lake inawezekana oil imeisha
wewe ni kilaza kweli.
unasema kweli?
nenda jf dr...
mkiambiwa mle nyanya chungu (ngogwe) oohh., sili dawa ya malaria
haya safar njema..
Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie lubricant. Some times naona kama namuumiza vile.
Hata yeye hafurahii kabisa hali hii.
Je tatizo hili hutokana na nini?
Msaada wowote wa kitabibu wadau.