Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

Nilipowaambia Members hapa huku nikijiamini kama kawaida yangu kuwa Makamu lazima atoke Ukatolikini wakanibishia.
Kikwete alikuwa na Makamu wawili kwa nyakati tofauti.

Gharib Bilal na

Mohamed Shein.

Nani alijali kuhusu dini zao???

Wakristo siyo omba omba kwamba wategemee mtu atoke kwao waende kuomba omba na kutetea UJINGA wake.
 
Screenshot_20260826_231331_Google.jpg
 
Back
Top Bottom