Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

Dodoma wengi ni Anglican.
Screenshot_20260826_233531_Google.jpg
 
Kikwete alikuwa na Makamu wawili kwa nyakati tofauti.

Gharib Bilal na

Mohamed Shein.

Nani alijali kuhusu dini zao???

Wakristo siyo omba omba kwamba wategemee mtu atoke kwao waende kuomba omba na kutetea UJINGA wake.
Ulitaka hao makamu wa Rais kutoka zanzibar wawe wakatoliki. Hizo ni akili au mapunye?
 
Huyu atakuwa mlokole.

Roma locuta causa finita est.
"Miaka 34 iliyopita ndio nilikutana na ndugu yangu Deo Ndejembi tukiwa wote watumishi wa kanisa(𝘼𝙡𝙩𝙖𝙧 𝘽𝙤𝙮𝙨) kwenye Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Dodoma.

Kuanzia wakati huo tumekuwa pamoja kwenye kanisa kama watumishi na pia tumeendelea kushirikiana katika mambo mengi,amekuwa rafiki yangu wa kweli kwenye shida na raha.

Tumeshiriki wote siasa za UVCCM tukiwa wajumbe wa Baraza Kuu na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kuwakilisha kundi la Vijana.

Lakini pia mimi ni Baba wa ubatizo wa watoto wake Lui na Jordel.

Picha ya kushoto hapo ni mwaka 2011-2012 wakati tunaishi Mtaa wa Akachube Kijitonyama na hapo tulikuwa kwenye zoezi kali la diet🤣🤣🤣🤣.

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake namtakia kheri na baraka katika maisha yake,Mwenyezi Mungu aendelee kusimama naye."
414196.jpg

414197.jpg
 
Dodoma wengi ni Anglican.
Nanukuu post kutoka kwa rafiki yake wa karibu Antony Mavunde post ya July 12

"Miaka 34 iliyopita ndio nilikutana na ndugu yangu Deo Ndejembi tukiwa wote watumishi wa kanisa(𝘼𝙡𝙩𝙖𝙧 𝘽𝙤𝙮𝙨) kwenye Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Dodoma.

Kuanzia wakati huo tumekuwa pamoja kwenye kanisa kama watumishi na pia tumeendelea kushirikiana katika mambo mengi,amekuwa rafiki yangu wa kweli kwenye shida na raha.

Tumeshiriki wote siasa za UVCCM tukiwa wajumbe wa Baraza Kuu na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kuwakilisha kundi la Vijana.

Lakini pia mimi ni Baba wa ubatizo wa watoto wake Lui na Jordel.

Picha ya kushoto hapo ni mwaka 2011-2012 wakati tunaishi Mtaa wa Akachube Kijitonyama na hapo tulikuwa kwenye zoezi kali la diet🤣🤣🤣🤣.

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake namtakia kheri na baraka katika maisha yake,Mwenyezi Mungu aendelee kusimama naye."
414196.jpg

414197.jpg
 
Nanukuu kutoka post ya rafiki yake wa karibu Antony Mavunde ya July tu hapo

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake namtakia kheri na baraka katika maisha yake,Mwenyezi Mungu aendelee kusimama naye."View attachment 3657678
View attachment 3657679
Zingatia Akachube
 
Back
Top Bottom