Hiyo mbona ni siku nyingi imeshapita? Ndio maana Lissu alikasiriki akarudi zake ukimbizini. Kuambiwa tu 2025 ni Samia baasi, akajiondokea zake eti ku- renew visa, eti appointment na daktari. Hii Tanzania tutaona mengi.Yaaani inamaana chadema nzimaa hakuna mgeni rasmi?. Kwa kuwa mumeanza kutambuakazi nzuri ya mama SAMIA, Sasa tunawaomba Kwa UMOJA wao chadema na CCM tumpitishe raisi mama SAMIA bila kupingwaa 2025. Chadema+CCM OOOHYEEEEE