Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

Chadema walipokandamizwa na awamu ya 5 wote tulikuwa kimya tukiwaacha wateseke peke yao.

Leo wameridhiana na awamu ya 6 tunawalaumu kwamba ni wasaliti na kupinga hata wao kupokea ruzuku ambayo wameipokea baada ya matokeo mazuri ya maridhiano.

Hii ndio maana ya unafiki.
 
Wewe ni maiti umekufa alafu umeoza unanuka! Uko tayari kushabikia upumbavu wowote kikubwa kulinda chadema na maslahi Yako huna lolote
Unajua wanachadema wangapi walifungwa kwa kesi za uongo kipindi cha jiwe? Unajua wangapi wametoka? na wangapi bado wako magelezani.? Hujui njinsi mbowe anavyopambania.
 
Naona mnajiongelesha kwa kupokezana. Ukweli ni kwamba CHADEMA imeamua kuwapiga chenga ya mwili wanafiki. Wakati Tundu Lissu analimwa risasi mlimcheka na kumdhihaki, Mbowe mkamwita gaidi na ikawa dhambi kuwa mwanachama wa CHADEMA. Leo nashangaa wanaoumia na maridhiano ya chadema na Serikali ni Hawa wanafiki walioikebehi CHADEMA kipindi Cha mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…