Haya anayoyasema Polepole kuhusu mgodi wa makaa ya mawe kama ni ya kweli Serikali chukueni hatua za haraka

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka utachimbwa kwa miaka 400. Kwa uchimbaji wa sasa unakadiriwa kuwa ule mkaa kwa mwaka unachimbwa kwa kiwango cha tani 0.5 millioni kwa mwaka na hivyo uchimbaji huu utachukua muda wa miaka 800 kuisha.

PolePole anaendelea kusema kuwa mapato ya Serikali yanayopatikana ni madogo na hayalingani na kiwango cha mkaa unaochimbwa.

Kama ni kweli haya anayoyasema ni kweli basi inatakiwa Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha kasoro hizi. Nchi ni yetu sote Watanzania na wote tunataka maendeleo. Maliasili kama Makaa ya mawe yanayopatikana nchini mwetu sote tuifaidi kwa kutuletea maendeleo na isiwe kwa watu wachache ndo wanafaidika nacho.
 
Hayo ni kweli na ndiyo yamepelekea Lissu kufunguliwa kesi ya uwongo kwani alipoyagusia tu kule Songea usikuwake akadakwa baada ya Rostam kupiga simu moja tu jumba jeupe.
 
Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka utachimbwa kwa miaka 400. Kwa uchimbaji wa sasa unakadiriwa kuwa ule mkaa kwa mwaka unachimbwa kwa kiwango cha tani 0.5 millioni kwa mwaka na hivyo uchimbaji huu utachukua muda wa miaka 800 kuisha.

PolePole anaendelea kusema kuwa mapato ya Serikali yanayopatikana ni madogo na hayalingani na kiwango cha mkaa unaochimbwa.

Kama ni kweli haya anayoyasema ni kweli basi inatakiwa Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha kasoro hizi. Nchi ni yetu sote Watanzania na wote tunataka maendeleo. Maliasili kama Makaa ya mawe yanayopatikana nchini mwetu sote tuifaidi kwa kutuletea maendeleo na isiwe kwa watu wachache ndo wanafaidika nacho.
Hawa viongozi wetu wameuza hii nchi kwa manufaa yao, wanatakiwa wapangwe kwenye mstari wapigwe risasi mmoja baada ya mwingine.
 
Nyie bado mna akili za kukalia uchumi au uchumi wa makalio. Kama una uwezo wa kuwekeza nenda kachukue mgodi. Makàa ya mawe muda wake umeisha nchi nyingi ziinayateleza.
Msimsikie huyo msukule Polepole akili ziliisha kichwani.
 
Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka utachimbwa kwa miaka 400. Kwa uchimbaji wa sasa unakadiriwa kuwa ule mkaa kwa mwaka unachimbwa kwa kiwango cha tani 0.5 millioni kwa mwaka na hivyo uchimbaji huu utachukua muda wa miaka 800 kuisha.

PolePole anaendelea kusema kuwa mapato ya Serikali yanayopatikana ni madogo na hayalingani na kiwango cha mkaa unaochimbwa.

Kama ni kweli haya anayoyasema ni kweli basi inatakiwa Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha kasoro hizi. Nchi ni yetu sote Watanzania na wote tunataka maendeleo. Maliasili kama Makaa ya mawe yanayopatikana nchini mwetu sote tuifaidi kwa kutuletea maendeleo na isiwe kwa watu wachache ndo wanafaidika nacho.
Serikali ipi? Are you serious?
Unawaona wanaongelea wanaweka ndani?
Wengine kuuawa km kina Magufuli
 
Back
Top Bottom