Haya anayoyasema Polepole kuhusu mgodi wa makaa ya mawe kama ni ya kweli Serikali chukueni hatua za haraka

Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka utachimbwa kwa miaka 400. Kwa uchimbaji wa sasa unakadiriwa kuwa ule mkaa kwa mwaka unachimbwa kwa kiwango cha tani 0.5 millioni kwa mwaka na hivyo uchimbaji huu utachukua muda wa miaka 800 kuisha.

PolePole anaendelea kusema kuwa mapato ya Serikali yanayopatikana ni madogo na hayalingani na kiwango cha mkaa unaochimbwa.

Kama ni kweli haya anayoyasema ni kweli basi inatakiwa Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha kasoro hizi. Nchi ni yetu sote Watanzania na wote tunataka maendeleo. Maliasili kama Makaa ya mawe yanayopatikana nchini mwetu sote tuifaidi kwa kutuletea maendeleo na isiwe kwa watu wachache ndo wanafaidika nacho.
Yaani fisadi papa anabeba makaa hayo ya mawe usiku kucha mchana kutwa na malori yake 400 kaagiza na mengine 200 ili akombe mzigo vizuiri Route Mbeya - Manyoni - Tabora -Kahama Uganda NJIBHA na pacha wako Mungu anawaona aiseeee.
 
Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka utachimbwa kwa miaka 400. Kwa uchimbaji wa sasa unakadiriwa kuwa ule mkaa kwa mwaka unachimbwa kwa kiwango cha tani 0.5 millioni kwa mwaka na hivyo uchimbaji huu utachukua muda wa miaka 800 kuisha.

PolePole anaendelea kusema kuwa mapato ya Serikali yanayopatikana ni madogo na hayalingani na kiwango cha mkaa unaochimbwa.

Kama ni kweli haya anayoyasema ni kweli basi inatakiwa Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha kasoro hizi. Nchi ni yetu sote Watanzania na wote tunataka maendeleo. Maliasili kama Makaa ya mawe yanayopatikana nchini mwetu sote tuifaidi kwa kutuletea maendeleo na isiwe kwa watu wachache ndo wanafaidika nacho.
Sioni kama wewe ni mmoja wa wenye nchi mpaka useme nchi ni ya kwetu sote
 
Back
Top Bottom