Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

"...Mnazungumza makabila? Mtuingize karne ya ishirini na moja mnapanda basi la ukabila?..."
 
Bukoba hipi unayo zungumzia mkuu, kwanza unaonekana unasumbuliwa na inferiority complex, ndiyo maana umekazania kuzungumzia vitu -ve tuu unafikiri hilo tu lita wa cut Wahaya to size - pole sana.
Hamna mtu atapinga kwamba hamjaelimika sana ila hayo yanayosemwa ni ukweli mtupu pia badilikeni.



[emoji817]
 
Nimeifahamu bukoba kwanza kupitia danguro zao daresalama na pili kupitia tetemeko maana nyumba zao na hali zao za maisha ni ya chini sana. Nyumba za udongo, watu hawana afya...maskini...
Wewe dogo acha dharau nitakutumbua, eti nyumba za udongo? umeshafika bukoba wewe au unaota tu?
 
Kwahiyo wazaramo wasukuma wa mwanza na wameru waarusha na wachaga Wa Arusha na wao wameutendea haki mikoa yao?

Haya ndiyo matunda ya ukoloni. Na ndiyo maana tunamuenzi Nyerere kwa kupinga ukabila, vinginevyo watanzania wengine wangekuwa utumwani hadi leo.
 
hii mada mbona inarudiwa sana.what is the motive behind it.
 
Unaongea Pumba eti nyumba zilizoanguka zote za udongo???? Hivi hizi taarifa mnazitoa wapi??? Au viroba vimezidi? Then unajifanya mjuaji hujui situation ya bukoba wewe kaa kimya.
 
Nimesoma na wahaya na hakuna hata siku walinizidi shuleni. Mimi ni mkazi wa kusini if you are wondering.
 
What is the objective of your post? Simple mindedness.

Had this comment been from people like me the moderators would have hidden it like my comments regarding the substandard seats of the National stadium. It is likely all or one of them is a muhaya. These are known to be among the most tribalistic ethnic groups of tz.
 
Hv kat ya wachaga na.wahaya wapi n.malaya......??
Aisee wachagga huko watoe kabisa kwanza inajulikana kabisa kati ya makabila yasiyoendekeza ngono Tanzania wachagga wanaongoza.

Wengi wanasemaga hapa wanawake wa kichagga hawajui mapenzi kabisa mwanamke wa kichagga ni mtafutaji na mchapakazi zaidi hata ya wanaume.



[emoji817]
 
kweli kbs
 
Huyu nae anakuja na ushabiki
Wachaga wenyewe wanapakimbia
Sio anapakimbia anaenda kutafuta other green pastures subiri December atarudi sio kama alivyotoka na lazima aporomoshe mjengo home wa adabu.



[emoji817]
 
hawapendani,wabinafsi watabaki ivo ivo n.a. majigambo yaooo
 
No matter what kila mtu awe proud na origin yake.
 
.mtoa mada
.....Hauhitaji kujifunza kusoma kwa sababu unajua........
....unahitaji kuelimika sababu ndo kitu ulichokosa....
 
huwa najiuliza kwa nini Kagera ni maskini pAmoja na wasomi wote hao hili tetemeko limeonyesha kuwa elimu ya kati kagera ni ndogo sana wahaya waliosoma sana ni wachache na wengi wanaelimu duni tofauti na Kilimanjaro ambapo wilaya kama mwanga ilikuwa na shule nyingi kuliko Singida mzima hii inapelekea watu wengi kuelimika tofauti na kagera ambapo anayesoma kasoma kweli ila kilaza nao ni wengi kwa mtandao wa elimu ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…