Manton
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,163
- 1,523
Wewe uliyesema kunanyumba za udongo!acha kusema kitu ambacho huna uchunguzi nacho,mkoa wa kagera wajitahidi sana katika ujenzi.Vyombo vya habari wameonyesha sehemu chache zenye mapungufu.Mara dada zetu wanjiuza yote hayo yamekujaje?tuseme Tanzania nzima wahaya ndo wanajiuza tu?acha hizo kama hakuna la kusema pita tu.