Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa inakuwaje Kagera unakuwa ni mmoja wa mikoa masikini nchini pamoja na "vichwa" vyote hivi (kama ni kweli)??*HAYA: THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA (EASTWARD) FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA*
*Nimepata sehemu TAFITI (RESEARCH) inayoonesha yafuatayo:*
*SHULENI*
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa *WAHAYA* top three mmoja lazima awe Muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu .
*FACTS*
.Best student UDSM 2005 - Benson Kagashe
. Best student 2009 Mr Denice Byarushengo
. Best student UDSM 2014. Mr William Pascal
. Best student COET-UDSM 2015 Mr Almachius Kahwa.
Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita Chuo Kikuu kikubwa UDSM kimepata Best student kabila la *WAHAYA 12 ,***
International Organization
1. Texas Power Chief Operations - Wellington Kamala
2. IMF africa representative - Delphine Rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard University for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced Jakaya Kikwete and Lipumba to be economic scholars
4. James Kateka from Bukoba, general chairman of Lawyers in the World, Scholar Harvard University,
5. James Rugemalila General Manager of VIP Engineering, Academician,
6. Florian Rugambwa the first Bishop and Cardinal in Africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya Mutegeki , member of Board of Nuclear , USA
9. *SIR GEORGE KAHAMA*, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa Malikia akampa u SIR.
*NDANI YA NCHI KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,*
*maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu:*
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
mfano:
A. Harvard University- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga Baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard University,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof Kaijage , University of Birmingham
E. Mark Rweyemamu director of GALV
Pia *General Education Forum* imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
maprofesa 172 walitambulika kutoka Kagera,Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya Kiziba,
Kwa hiyo sehemu nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki
kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa KAGERA ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katika wilaya ya Bukoba Mjini, halikuitwa bunge direct ila ilikuwa ni vikao vya WAKAMA kila mwezi vinaendeshwa sehemu inahitwa ACHEMBA RWAMISHENYE, watu wa kule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 NYERERE akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakoloni walishangaa kuona shughuli za Bajeti, Sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa Wahaya na wa Kikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.
*TAASISI ZA SASA*
-Katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya:
TPB- Leticy Rutashobya Mkurugenzi mkuu
TPA - Mwanasheria Mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize Malinzi
TIC- Madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel Kamuzora
UDSM- Prof Mukandara
CRD- Consolatha Ngimbwa General Manager
NBC : Pius Tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha Kazaula
UHAMIAJI: MR Mikinga
Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?
Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha *HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA*
Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 Mwalimu NYERERE akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda Secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,
Wakati watu wengine kama *DODOMA* mwenye Marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza:
-Ndyamukama
-Tibalemwa
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa
Wataje kwa majina kama kama unawafahamu sio kuleta nadharia hapamuda ulioutumia kutengeneza hii research yako umeupoteza bure na hautorudi, bora ungekaa ukameditate labda akili ingekukaa na ukapata mawazo mapya ya kuinua maisha yako. nasikitika kupoteza muda wangu kusoma thread la hovyo
Wahaya wana akili sana hilo halina ubishi, ila umalaya sasa hapo ndiyo heshima yao inaposhuka
Ulishasikia wanaomba msaada wa chakula kama ni masikiniKagera ni mkoa wa NNE kwa umasikini kwa maana zaidi ya asilimia 71.5 ya wananchi wake wanaishi chini ya dola moja
Utaifahamu vp Bukoba kwa kuudhulia madangulo ya Dar watu banaNimeifahamu bukoba kwanza kupitia danguro zao daresalama na pili kupitia tetemeko maana nyumba zao na hali zao za maisha ni ya chini sana. Nyumba za udongo, watu hawana afya...maskini...
Walishakushughulikia nini?Wahaya wana akili sana hilo halina ubishi, ila umalaya sasa hapo ndiyo heshima yao inaposhuka
Hiyo ni sawa na kusema kwa nn Tz pamoja na lasirimali zote tulizonazo mbona bado ni masikini hivi unajua sababusasa inakuwaje Kagera unakuwa ni mmoja wa mikoa masikini nchini pamoja na "vichwa" vyote hivi (kama ni kweli)??
Nimeifahamu bukoba kwanza kupitia danguro zao daresalama na pili kupitia tetemeko maana nyumba zao na hali zao za maisha ni ya chini sana. Nyumba za udongo, watu hawana afya...maskini...
Dada zenu ni watamu sana😛😛😛😛Bukoba hipi unayo zungumzia mkuu, kwanza unaonekana unasumbuliwa na inferiority complex, ndiyo maana umekazania kuzungumzia vitu -ve tuu unafikiri hilo tu lita wa cut Wahaya to size - pole sana.
Mkoa wa Kagera!Hivi hao wote wameufanyia nini mkoa wao wa Bukoba?
Safi sana hapo umezungumza tafiti nyeti haswa. Hongera MMkuu.Utofauti wa wahaya na makabila mengine hasa wachaga ni kwamba, wachaga wanathamini sana kwao. Mtu anaishi dsm au mwanza ila atajenga kwao kilimanjaro. Wahaya wao wanapenda maisha fulani ya kibepari, akiwa dsm anajenga dsm, akiwa dodoma anajenga dodoma. Wengi wenye mafanikio wameamisha wazazi wao na kuishi nao kwenye maeneo yao mapya ya kikazi na si bukoba.
KIUCHUMI KUJENGA NYUMBA YA 50M KIJIJINI WAKATI UNAISHI 90% YA MAISHA YAKO MJINI NI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI
Utofauti wa wahaya na makabila mengine hasa wachaga ni kwamba, wachaga wanathamini sana kwao. Mtu anaishi dsm au mwanza ila atajenga kwao kilimanjaro. Wahaya wao wanapenda maisha fulani ya kibepari, akiwa dsm anajenga dsm, akiwa dodoma anajenga dodoma. Wengi wenye mafanikio wameamisha wazazi wao na kuishi nao kwenye maeneo yao mapya ya kikazi na si bukoba.
KIUCHUMI KUJENGA NYUMBA YA 50M KIJIJINI WAKATI UNAISHI 90% YA MAISHA YAKO MJINI NI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI
simple....MISMANAGEMENT!Hiyo ni sawa na kusema kwa nn Tz pamoja na lasirimali zote tulizonazo mbona bado ni masikini hivi unajua sababu
Kabla sijafikaga Bukoba,nilikuwa nasema Wahaya wanapendana sana,lakini nilipofika nikakuta kumbe ni maigizo wakiwa nje ya kwao.
Dada zenu ni watamu sana😛😛😛😛
Kwa hiyo tunathibitisha kuwa Hayas are bad managers, and b'cause they are more educated than any other tribe here in Tz & posses most of managerial positions that's why our country is not moving, right?simple....MISMANAGEMENT!