bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 387
Wakuu nikweli tulipasahau nyumban ila kama umeweza kupita vjjn miaka miwili iliyopita tofautii kwa kasii inaonekana sasa,, tulijua kuhamisha familia zetu ni sehemu ya maendeleo kumbe sivyo,, nyumba zlizobomoka si kagera nzima bali ni sehemu ndogoo sana na vyombo vya habari vinamulika penye shidaaaa tuuu,,,, mungu atuzidishie hii kasii iendelee,,, tunaitaman klomanjaro iwe picha ya kagera,, ahasanteUtofauti wa wahaya na makabila mengine hasa wachaga ni kwamba, wachaga wanathamini sana kwao. Mtu anaishi dsm au mwanza ila atajenga kwao kilimanjaro. Wahaya wao wanapenda maisha fulani ya kibepari, akiwa dsm anajenga dsm, akiwa dodoma anajenga dodoma. Wengi wenye mafanikio wameamisha wazazi wao na kuishi nao kwenye maeneo yao mapya ya kikazi na si bukoba.
KIUCHUMI KUJENGA NYUMBA YA 50M KIJIJINI WAKATI UNAISHI 90% YA MAISHA YAKO MJINI NI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI