Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

What is the definition of intelligence?
Wengi wanakosea sn wanapoamini kuwa na akili za darasani ndo kuwa intelligent.
An intelligent person is someone who is willing and have the ability to translate the environment surrounding him/her into such a way it is beneficial to him and the society in general.
Sasa ruje kwa wahaya. Mbona mkoa wa kagera ni moja kt ya mikoa masikini kabisa hapa nchini. Hawana chuo kikuu hata kimoja. Usikute huo uprofesa na udr wanaojivunia ni wa kununua. If buying intelligent is also intelligence then Hayas do qualify.
Sioni mhaya mwenye tangible impact in Tannzania
 
What is the definition of intelligence?
Wengi wanakosea sn wanapoamini kuwa na akili za darasani ndo kuwa intelligent.
An intelligent person is someone who is willing and have the ability to translate the environment surrounding him/her into such a way it is beneficial to him and the society in general.
Sasa ruje kwa wahaya. Mbona mkoa wa kagera ni moja kt ya mikoa masikini kabisa hapa nchini. Hawana chuo kikuu hata kimoja. Usikute huo uprofesa na udr wanaojivunia ni wa kununua. If buying intelligent is also intelligence then Hayas do qualify.
Sioni mhaya mwenye positive & tangible impact in Tannzania
 
wahaya kwa misifa hawajambo basi tu ndio elimu zetu hizi hamana hata moja alishagundua kitu
ila pia ndio wanaongoza kwa wanawake wao kujiuza kingono
Amesahau na pale temeke sudani kuna Kokubanza Rwegasira-manager,Byela Rweyemamu-chief secretary,Restuta Rutambuka-chief personely-----------------------------
 
Hatujakataa lakini Mbona hawajaufanyia haki njia wao. Niko miongoni mwa sehemu masikini nchini hadi watu hawana chakula. Sioni faida yao. Wao mbwembwe Na majivuno!!!
 

Kuna wakati najiuliza nini chanzo cha majadiliano haya? Ni faida zipi zinatokana na majadilaino haya? Au watu wanatafuta wachumba kinamna? Binafsi faida sizioni. Juzi uliletwa uzi unaongelea ukazikazini, wakazikazini wakajidai, wakajipamba, nikawa nasubiri wa wakanda ya ziwa, lakini nikijua litakalofuata litakuwa la wahaya. Leo naliona la wahaya, sishangai. kesho au baadae kidogo litakuja la wanyakyusa.

Ukweli ambao sasa mnapashwa kukubalina nao ni kwamba, Tanzania kuna makabila yafuatayo: Kabila kubwa kabisa, ni Masikini ( Umasikini hauna mipaka kama ulivyo utajiri), Kabila dogo kabisa ni kabila la matajiri,kabila la kati ni la wafanyakazi wenye ajira za kudumu (wa serikali,mashirika ya umma, mashirika ya kimataifa, makampuni makubwa kama ya IPP,Sahara media, Azam, n.k), Kabila jingine ni wafanya biashara ( wakubwa na wakati); lipo na kabila ya wakulima, na kabila la wafugaji. Ukitaka unaweza kuweka kabila la viongozi wa kisiasa na kabila la chama tawala.

Nimependa maana ya neno intelligent kama alivyo lielezea ndugu yangu, Jile 79, hapo juu" An intelligent person is someone who is willing and have the ability to translate the environment surrounding him/her into such a way it is beneficial to him and the society in general. Twambie elimu yako ilichosaidia "Ubinadamu na taifa lako" na sio mkoa wako au kabila lako. Haya ndiyo yanyosababisha ujenzi wa viwanja vya .......... kule kusikokokuwa na faida za mapema.
 
Ubinafsi ni watu wa Mara hata hapa Dar wamechukua mtaa wapekeyao kitunda.
 
You are absolutely right!
 
Ungetuambia wamegundua nini walau hata kutengeneza solar panel zitufae maisha haya unaleta porojo zasifa za kijinga Kama muaya...kwataarifa mkoa Wa kagera ni maskini saana na kupata milo mitatu kwao ni mtihani
 
Ungetuambia wamegundua nini walau hata kutengeneza solar panel zitufae maisha haya unaleta porojo zasifa za kijinga Kama muaya...kwataarifa mkoa Wa kagera ni maskini saana na kupata milo mitatu kwao ni mtihani
Nakuunga mkono, nenda Arusha, Moshi, au Mbeya utaona jinsi watu walivyofanya kwao lakini hawa zimebaki sifa za kipuuzi. Tutajuaje labda mmepewa title kubwa halafu malipo sisimizi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Best student udsm 2014 sio william paschal,,,hapo nakataa maana jamaa namjua ni class mate wangu adv,pcm moshi tech.na hizi taarifa alizikanusha.
 
Hongera yao ila elimu kitu kikubwa sana wakati tu upo hai lkn hata ukasomee mpk mbinguni ukifa hakuna wa kugombania vyeti vyako watu wataendeana mahakamani na kwa waganga kwa ajili ya gari,nyumba na pesa ulizoacha watasahau km ulikuwa msomi mwenye shahada nzito nzito elimu pole pesa imekuzidi ujanja
 
Me nimesoma na wahaya kibao ilikuwa mi bogus wote waliishia kidato 4 div 4.... Driver wangu ni mhaya the best driver ever...
 
Hizi zama sio za kujisifu kwa kuwa na madigrii mengi, sijui profesa.. tuambie hao uliowataja wamegundua nini kipya katika nyanja zao za kitaaluma. Tanzania au dunia inawatambua kwa kugundua nini?.

Wasomi wetu wengi wameishia kushare taarifa ambazo wengine waligundua. Wao wenyewe hawana kipya..!!
 
Mimi napima akili ya mtu kwa vigezo tofauti....uwezo wa ku-convert oppoitunities into results ni sifa mojawapo. Pia ku-convert challenges into oppirtunities and then into results. Hii haijalishi kuwa umeenda shule au la!

For this reason, siwezi kuwapa wahaya marks nyingi coz hawako vizuri kwenye ku-make life meaningful in terms of tangible results.

Kule Kenya Wajaluo wanaongoza kwa kusoma sana. Lakini katika maisha halisi Wakikuyu wamewaacha mbali Wajaluo ingawa na Wakikuyu nao wameenda shule pia.

Likewise, hapa Tanzania, Wachagga wamewaacha mbali Wahaya kimaisha ingawa na wachagga nao wameenda shule.

Disclaimer: Mimi sio mhaya wala mchagga wala mkikuyu wala mjaluo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…