Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Miaka hiyoooo chuo group letu Lilikua na members kibaooo.. Sasa Ile kutegeana weee wahaya hawataki ujingaa si wakajitenga bana wakachukuana wao plus watu wazima fulani wanaojielewa wengi waliacha familia zao huko mahom so wanajua kilichowapeleka chuo... Tukabaki vijana vijana Yani grupu ni masela tu wacha tujiite HIPHOP group khakhaa chairman wetu mwenyewe alikuwa anavuta plus pombe macho mekunduuu masaa yote. tupo lecture yeye Yupo bize mtandaoni. Na simu yake unashangaa tu anauliza maswali ya maana unabaki kushangaa huyu mbona Yupo bize na simu afu maswali kisu.. Lilikua jiniaz sana Lile kaka pius ila hata chuo hakumaliza alienda zake sauz tukiwa 2nd year eti pale anapoteza muda . . Vipindi anadog ila anapafomu balaa.. HIPHOP tuliumiaaa kutengwa maneno kibaooo wanajishauaa blah blah kibao Weeeeeeeeeeeeeeee tulikua tunaenda nao sambamba kwenye assignment za grupu ukija individual assignment na tests vi quiz haaaa tunawaacha mbali wazee na majukumu yao huko nyumbani
Ikawa sasa grupu lao wahaya kibao letu wachagga kibao lol nimemiss sana maisha ya chuo
Cc Smart911
Ikawa sasa grupu lao wahaya kibao letu wachagga kibao lol nimemiss sana maisha ya chuo
Cc Smart911