Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Wahaya wako vizuri kichwani,sababu kubwa ni lishe bora,bukoba ni eneo lenye vyakula vingi!!hivyo watoto wakienda shule huwa tayari wameshiba!!na ili usikilize vizuri lazima Tumbo liwe vizuri...pia samaki na matunda hasa parachichi(bukoba vnapatkana)hujenga akili !!!sasa mfano dom,hakuna jingine ni ugali tu through out of the year!!!akili itakujaje???
Haha asubuhi wakishapiga iboa la matoke na misamaki maharage na parachichi aaaaaaaaaa Somo freeesh linaingia sio vya mpaka kusubiria break time ni kuongezea tu

Cc Smart911
 
Walishangaa kwa sababu walifika huko kwa Wahaya huenda hata kwa makabila mengine yalikuwepo sema kwa sababu hawakufika hayakuweza kubinishwa
Kwa wazungu waliishi bkb pekee ? Mbona mikoa mingi walikuwa na maboma yao
 
sio akili mazingira ya kihistoria tu yaliwabeba hivyo wakajikuta wengi wao wanasoma
ni kama ilivyo nyakati hizi kwa wachaga,sio mashuleni tu hata vyuoni kila darasa nusu/robo ya wanafunzi wanakuwa wachaga,hii ina maana baada ya miaka ya mbeleni ndio watakuwa wengi ktk kila nyanja.
 
Mkuu hapo sidhani kama ni kweli kwa sababu hadi leo hii wasukuma bado wanakimbilia porini kusiko na shule ili wachunge, sasa sipati picha miaka ya nyuma ilikuwaje
We kumbe huelewi tembelea vyuoni idadi ya wasomi walio wengi utakuta ni wachaga na wasukuma poote tu siku nenda ukaangalie utaniambia pamoja na kuendelea kufuga hata kusoma wanasoma saana!!
 
Shule kuwa kwe 10 bora hata ikiwa Kagera haimaanishi kwamba ni ya Wahaya tu kuna makabila mengi sana yamechanganyika kila sehemu.......unachotakiwa kujua ni kwamba watu wenye akili wapo kila makabila si kwa wahaya tu
Ila inabidi ujue kwamba zaidi ya salimia 80 (hasa primary mpaka form 4) ya wanafunzi wanakuwa ni wazawa wa mkoa husika, sasa huoni kwamba ndo wanachangia sana endapo mkoa unashika namba nzuri au mbaya!!
 
Kwa wazungu waliishi bkb pekee ? Mbona mikoa mingi walikuwa na maboma yao
Taja hiyo mikoa......maeneo yote waliyokaa na kujenga mashule watu wake walitangulia kusoma kwa wingi kuliko sehemu zingine......labda unataka kuendekeza ubishi tu ndugu yangu
 
Kaka nikwambie ujue kuanzia leo wasukuma wasingewekewa kizingiti wangelikuwa weengi mnoo kwe mfumo wa serikali japo hawakuwa na mwamko wa elimu kivile.......
Sema ni kabila kubwa sana kuanzia tabora,shinyanga,mwanza,geita,kakonko mpaka maeneo ya magu kote wametapakaa sana. Ni kweli walizibitiwa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] karibu tena na senene pembeni utashushia na juice ya ndizi, lazima kitambi cha muda kiote [emoji39] [emoji39]!!!!!!
Kuna kipindi nilikua nafanya baseline na evaluation world vision kagera asee nilitoka nimenenepa achaaa na senene nilijifunzia kula huko nilikua najishaua eti nani ale panzi hao haaaa huyo mdada akaniambia huwajui wewe.. Akakaanga vizuriii ka pilipili tangawizi nk zilinogaaaa nikaonja kwanza kamoja nipo mh [emoji39] hebu nipe kengine kanipa haaaa akaniwekea kabisa kwenye kibakuli tangu hapo mpaka waleo ukininyima senene ntakavokukimbiza ukishushia na juice sasa

Cc Smart911
 
Walipoonekana wanajenga kwao walianza kuitwa makabila hata siku hizi ambapo wameanza kujenga tena bado wanaendelea kuitwa hivyo na kuzuiwa mfano uwanja wa kisasa wa kaitaba na airport wengi wameanza kusema kwa nini bukoba hata siku hizi meli ilivyoanza kujengwa kubwa wengi wameanza chokochoko za kwa nini iwe bukoba hata ujenzi wa shopping mall na ujio wa rais Bukoba na kukaa siku NNE watu wanasema kwa nini bukoba hilo ndo lilikwamisha wahaya kujenga kwao ila sasa wameshawaelewa watz ndo maana wanarudi kwa kasi kuijenga kgr hasa bukoba mjini
Saivi Siasa pia itafanya bk isipelekewe maendeleo kiviile make kule wapinzani wana nguvu zaidi ya ruling party

Cc Smart911
 
Wako vizuri kichwani, hata wakiwa hawajasoma hapa kwetu kwenye taasisi ya biashara namtolea mfano bosi Ruge Mutahaba.

Ila..... ila.... nilisikia huwa wanasifika kwa.....

Kwa.....

Kwa......

Yaani ni wataalam wa......

View attachment 667887
Ila kwa kujisifu tuu na madharau hawajambo, utasikia rweyemamu anamuagiza houseboy wake hebu chukua hizi funguo za vanguard ukanunue chakula cha boby (mbwa) hapo supermarket.

Hahahahaa pamoja na madharau nachowapendea wanajua kusaidiana kwa kunyanyuana na wanajua kutafuta pesa ndo maana matumizi yao huwa ni makubwa na ya dharau. Wanapenda sana pride labda ni inborn.

Ever Smiling Kasie.
Ruge(my school mate) hakusoma kwa shida, He is the only guy in his family aliyeamua kusoma hapa Tz na hata kuishi hapa. Alisoma EGM na baada ya hapo America, then back kuendesha biashara
 
810150ddc64e8c0b459674c52d951050.jpg
Hahahahaha bukoba club lol!!

Cc Smart911
 
ni kama ilivyo nyakati hizi kwa wachaga,sio mashuleni tu hata vyuoni kila darasa nusu/robo ya wanafunzi wanakuwa wachaga,hii ina maana baada ya miaka ya mbeleni ndio watakuwa wengi ktk kila nyanja.
Wahaya walikuwa wamerudi nyuma kidogo siku za nyuma ila siku hizi wameanza kuamuka kwa kasi prove kwa shule zilizojengwa bkb toka 2010 na vyuo vinne vilishajengwa toka 2012 na tangu tetemeko bkb inakuja juu kwa kasi na kupanuka kwa haraka
 
We kumbe huelewi tembelea vyuoni idadi ya wasomi walio wengi utakuta ni wachaga na wasukuma poote tu siku nenda ukaangalie utaniambia pamoja na kuendelea kufuga hata kusoma wanasoma saana!!
Msibadirishe lengo la Uzi kwa kuanzisha ligi
 
Kuna kipindi nilikua nafanya baseline na evaluation world vision kagera asee nilitoka nimenenepa achaaa na senene nilijifunzia kula huko nilikua najishaua eti nani ale panzi hao haaaa huyo mdada akaniambia huwajui wewe.. Akakaanga vizuriii ka pilipili tangawizi nk zilinogaaaa nikaonja kwanza kamoja nipo mh [emoji39] hebu nipe kengine kanipa haaaa akaniwekea kabisa kwenye kibakuli tangu hapo mpaka waleo ukininyima senene ntakavokukimbiza ukishushia na juice sasa

Cc Smart911
Kweli wewe umebakiza damu tu, vingine vyote umekuwa mhaya [emoji87] [emoji87] [emoji87]!!
 
We kumbe huelewi tembelea vyuoni idadi ya wasomi walio wengi utakuta ni wachaga na wasukuma poote tu siku nenda ukaangalie utaniambia pamoja na kuendelea kufuga hata kusoma wanasoma saana!!
I think ni baadhi, kwa mfano wachagga utawakuta sana kwenye college za bihashara ila ni nadra kumkuta msukuma huko so huwez kusema wamedominate in general
 
Napenda sana vyakula vyao traditional michemsho freshhhh ndizi samaki ntongo plus maharage wanamix humohumo asee siku ya kwanza kula hiko chakula nilijilamba mpaka kisogonii. Na parachichi lako aaaaaaaaaaaaaaaaaaa burudaaaaani [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Cc Smart911
Siku moja nikupikie Mrs smart halafu oblye obandamile akanyasi karuungi nkaiwe
 
Saivi Siasa pia itafanya bk isipelekewe maendeleo kiviile make kule wapinzani wana nguvu zaidi ya ruling party

Cc Smart911
Ila upinzani ndo umeamusha maendeleo kuliko ccm ambao waliisabishia hasara bkb bil 18 kwa bifu zao za wenyewe kwa wenyewe watazame ukawa wanaleta maendeleo mfano stendi inajengwa, na barabara zinajengwa nyingi kuliko ccm na wameshakomboa bil 5 kati bil 18 na ccm wanashirikiana maana malumbano yalishasababishia hasara manispaa
 
Kweli wewe umebakiza damu tu, vingine vyote umekuwa mhaya [emoji87] [emoji87] [emoji87]!!
Hahahahaha ningekua na miguu ya kihaya wangenikoma nishatoka Kitambo nilikaa huko zamani sana pindi nimemaliza chuo nilikua nisubiri ajira nilifanyaga interview world vision kagera nikakosa ndo nikawa nafanya part time pale Lweru ADP tulikua tunazunguka zunguka misenyi ADP katerero ADP Mbuka ADP almost all ADPs

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom