Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Haha asubuhi wakishapiga iboa la matoke na misamaki maharage na parachichi aaaaaaaaaa Somo freeesh linaingia sio vya mpaka kusubiria break time ni kuongezea tuWahaya wako vizuri kichwani,sababu kubwa ni lishe bora,bukoba ni eneo lenye vyakula vingi!!hivyo watoto wakienda shule huwa tayari wameshiba!!na ili usikilize vizuri lazima Tumbo liwe vizuri...pia samaki na matunda hasa parachichi(bukoba vnapatkana)hujenga akili !!!sasa mfano dom,hakuna jingine ni ugali tu through out of the year!!!akili itakujaje???
Cc Smart911