Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Miaka hiyoooo chuo group letu Lilikua na members kibaooo.. Sasa Ile kutegeana weee wahaya hawataki ujingaa si wakajitenga bana wakachukuana wao plus watu wazima fulani wanaojielewa wengi waliacha familia zao huko mahom so wanajua kilichowapeleka chuo... Tukabaki vijana vijana Yani grupu ni masela tu wacha tujiite HIPHOP group khakhaa chairman wetu mwenyewe alikuwa anavuta plus pombe macho mekunduuu masaa yote. tupo lecture yeye Yupo bize mtandaoni. Na simu yake unashangaa tu anauliza maswali ya maana unabaki kushangaa huyu mbona Yupo bize na simu afu maswali kisu.. Lilikua jiniaz sana Lile kaka pius ila hata chuo hakumaliza alienda zake sauz tukiwa 2nd year eti pale anapoteza muda . . Vipindi anadog ila anapafomu balaa.. HIPHOP tuliumiaaa kutengwa maneno kibaooo wanajishauaa blah blah kibao Weeeeeeeeeeeeeeee tulikua tunaenda nao sambamba kwenye assignment za grupu ukija individual assignment na tests vi quiz haaaa tunawaacha mbali wazee na majukumu yao huko nyumbani
Ikawa sasa grupu lao wahaya kibao letu wachagga kibao lol nimemiss sana maisha ya chuo





Cc Smart911
 
Watanzania wengi wanawachukia wahaya na viongozi wenyewe hawawapi nafasi ndo maana utakuta wahaya wengi wasomi hawaijengi tz .maana watabambikiziwa kasi,Mara wait we wakabila Mara wanapendeleana kwenye uongozi ,Mara wanapenda sifa na mambo mengi ndo maana wahaya wengi hujenga mijumba mikubwa vijijini kwao na kuachana kabisa na wa bongo na serikali yao .ndo kilichobaki
 
Mkuu nimemaliza pale UD 2014, huyo Pascal ni wa kawaida sana, cjui hizi data umezitoa wp
 
Uwepo wa Wakoloni karibu yao si ndo ukawafanya wakaitambua mapema ndugu au?
Wakoloni waliwapenda wahaya kwa sababu walikuta baadhi ya mambo na kuyashangaa mfano bunge kuu la wahaya la chemba rwamishenye ambalo halikutofautiana na ya ulaya.na pia kustaarabika na makao ya kudumu ya wahaya ambao nao walijenga urafiki nao.
 
hahahaha ukienda bukoba ndo utajua walivyo vichwa maji mpaka unashangaa

nimesoma nao hawakuwa wakali kiviiile, sema nilikutana na moja ilo chuoni lile jamaa linajua. dharau akili kubwa, kwa mara ya kwanza nilikuwa mnyonge mbele ya muhaya
Mbona mkoa wa kagera haukosagi ten best kwenye matokeo
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema nn kuhusu watu wa dodoma
 
Inadepend na mda/jinsia
Kwa asubuhi ...
Mwanaume-waitu olailota
Mwanamke-mawe olailota

Mchana mpaka usiku
Mwanaume-waitu wasibota
Mwanamke- mawe wasibota

Kwa mtu aliyeoa na kufunga ndoa
Mwanamke-mawe shumalamu
Mwanaume-waitu shumalamu
Je ukiwa umeoa lakini hujafunga ndoa
 
Kuna professor mbelwa kairuki balozi wa tz China na professor massillingi balozi wa tz USA amestaafu mwaka huu
 
Ina maan hakuna wahaya walioongoza vyuo vingine only udsm?au wahaya wote wanasoma udsm?
 
Nilisoma na kokubanza alikua hapendi shule huyo mtoro hatari cjui muhaya wa wapi yule asiependa kusoma
 
Hata kwenye huduma za kimahaba wahaya wapo vzuri ref.kigamboni kwa wahaya na temeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…