The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Unaweza kuwa positive or negative kama ni mada husika hamna shidaNiliielewa na ndio mana nkachangia!ila style ya uchangiaji wangu ndio hukuipenda,ulitaka niwe positive !!!!
Your not intelligent like haya ndo maana una mipasho na chuki nyingi tudi kwenye mada usituharibie uziKumbe wazulu+wahaya=noumaaa!!!
Kuna tatizo gani kama wanavyovisema ni vya kweli??? Au kuna shida gani mtu kusemea mazuri ya kwao??Wahaya hii tabia ya kujisifia ni genetic disorder yenu...
Mkuu acha wivu kwa wenzio.
Kapate dozi ya malaria kwanza alaf utarudiNiko sawa sawa na Mada!!
Page ya 80 ila jf ya muhaya[emoji23] [emoji23]Uzi wa wachaga ukute ushafika page ya 80 huko.
Yani hata hapa JF karihia nusu ya watumiaji ni wa huko.
Achana na sisi kaka, kwenye elimu tupo, kwenye biashara tupo.
Povu la wivuSifa kuu ya wahaya ni uasherati. Hata waanzisha madanguro dar,ni,,,,,,, ,hata ugonjwa huu ulianzia kwa,,,,, ,hata mtaani wahaya ni noma,kama wewe ni mhaya na tabia hiyo juu huna basi kaa kimyaaaaa!!!
Umejuaje hao uliowataja sio malaya? Unalala nao kitanda kimoja 24/7?
Imepenyaaaa!!!nshamba muleba ndiko ulikoanzia ududu!!!!wahaya mnalooo!!!Kapate dozi ya malaria kwanza alaf utarudi
Ukweli unauma??kuna mkurugenzi mmoja wa redio kubwa nchini,he is above 50yrs,hana mpango wa kuoa..kutwa na vibinti!!ni muhaya original huyo!!!pamoja na kuwa nyie mko vzr kielimu,lakini ktk kitengo cha mfudede mmepoteza nati!!!Your not intelligent like haya ndo maana una mipasho na chuki nyingi tudi kwenye mada usituharibie uzi
Ooooooshhhhh!!!!kaogeYour not intelligent like haya ndo maana una mipasho na chuki nyingi tudi kwenye mada usituharibie uzi
Anakuhusu nini ? Usibadiri jamii forums kuwa kijiwe cha umbea walau huyo ana mafanikio yake kuliko wew pambana na hali yakoMkurugenzi wa , ,,, ,,, radio ni nshomile,,halafu he is above 50yrs,bado hajaoa!!!na hana mpango wa kuoa
Sijawahi pitwa na mtani wangu wa kihaya darasani kuanzia nasare hadi hapo UDSM mnapopasema.Wahaya wapo vizur mkuu..pale coet udsm tym nasoma nilikuwa nawaona weng tuu ktk kusoma wanapambana...yes wanapenda sifa so huwa hawakubali kuaibika kuwa wa mwisho class huwa sifa zao zinawasaidia.....sio kwamba n vichwaa sana ila wana juhud za kusoma kwa bidiii
Mpaka hapa siitaji kukuuliza kabira lako, tayari umejidhihirisha nenda kwenu waambie wasome waache umbea maana muwakilishi wao ni wewe kwenye umbeaNaongelea tabia ,,unaweza kuwa na mafanikio,akili na Mali lakini kama umalaya umekutawala utajikuta unazeeka huku bado unatamani kuitwa baby!!hiyo ni mifano halisi ya wahaya!!kweli wana akili,vipato,na vipaji,ila wanafeli ktk kipengele hicho cha samunge cup!!!