Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Profesa Anna tibaijuka alishakuwa moja ya masecretary UN, kuna askofu almachius Rweyongeza wa jimbo la kayanga
 
Mkurugenzi wa , ,,, ,,, radio ni nshomile,,halafu he is above 50yrs,bado hajaoa!!!na hana mpango wa kuoa
 
Your not intelligent like haya ndo maana una mipasho na chuki nyingi tudi kwenye mada usituharibie uzi
Ukweli unauma??kuna mkurugenzi mmoja wa redio kubwa nchini,he is above 50yrs,hana mpango wa kuoa..kutwa na vibinti!!ni muhaya original huyo!!!pamoja na kuwa nyie mko vzr kielimu,lakini ktk kitengo cha mfudede mmepoteza nati!!!
 
Mkurugenzi wa , ,,, ,,, radio ni nshomile,,halafu he is above 50yrs,bado hajaoa!!!na hana mpango wa kuoa
Anakuhusu nini ? Usibadiri jamii forums kuwa kijiwe cha umbea walau huyo ana mafanikio yake kuliko wew pambana na hali yako
 
Wahaya wapo vizur mkuu..pale coet udsm tym nasoma nilikuwa nawaona weng tuu ktk kusoma wanapambana...yes wanapenda sifa so huwa hawakubali kuaibika kuwa wa mwisho class huwa sifa zao zinawasaidia.....sio kwamba n vichwaa sana ila wana juhud za kusoma kwa bidiii
Sijawahi pitwa na mtani wangu wa kihaya darasani kuanzia nasare hadi hapo UDSM mnapopasema.

Niliwanyoosha wote hadi wakaamini kwamba siye WAKWAYA tupo vizuri upstairs.

Hapa kazini kuna bosi mhaya PhD holder anatia akili na ki masters changu. Na huwa ananikubali hadi anajishangaa.

Wahaya ni wadogo tu.

A Level PCM Usagara nilimsumbua mchaga mmoja alikuwa anakesha wakati mie najifunza kula bia. Aliiywa KIMBI. Hivyo IQ haina ikabila ni juhudi ya mtu na namna alivyoumbwa.
 
Naongelea tabia ,,unaweza kuwa na mafanikio,akili na Mali lakini kama umalaya umekutawala utajikuta unazeeka huku bado unatamani kuitwa baby!!hiyo ni mifano halisi ya wahaya!!kweli wana akili,vipato,na vipaji,ila wanafeli ktk kipengele hicho cha samunge cup!!!
 
Mpaka hapa siitaji kukuuliza kabira lako, tayari umejidhihirisha nenda kwenu waambie wasome waache umbea maana muwakilishi wao ni wewe kwenye umbea
 
Back
Top Bottom