Kuishi nje ya nchi ndo kuwa na akili? Kupanga ni kuchaguaHuku maDiaspora wengi ni from Kagera,Bukoba... saa inine unajiuliza TZ hakuna other tribes..!! au bongo za wahaya zina Market worldwide? changamkieni elimu....
Mkuu nataka kuja kuchukua jimbo letu hapo karagwe..! Mwambie huyo jamaa wa bushangalo kwamba mwijikuru wa Lumanyika naije 2020 kutwala ijimbo lyabo.Huyo mtaalamu amesema kweli kabisa. Nipo Kaisho na watoto tunakula sana senene na matunda adimu yaitwayo amashaza achilia mbali ndizi kwa wingi zilizochanganywa na vitu vya asili vingi ikiwemo entura! Naona matokeo chanya hapa kama anavyosema mtaalamu ...[emoji1787][emoji1787]
Posts zao ni high rank..nk nkKuishi nje ya nchi ndo kuwa na akili? Kupanga ni kuchagua
MwehPosts zao ni high rank..nk nk
Founder siyo yeye mwenyewe ukumbukeUkisema Wahaya hawajawai kufanya kitu kikubwa kikatambulika kitaifa huku ukiandika kwenye jf ambayo CO wake mero ni Mhaya nakuona kichaa
Kwa iyo hata Maxence Mello Mubyazi muanzilishi wa Jamii Forum umkubali,
Basi wewe nimbishi, unaweza bishana hata na Radio
Akili na uzalendo sijui misaada vitu viwili tofauti kabisa.Hapa ndo tunapoanzia kuona kwamba huko kwenu kuna tatizo hata la kuchanganua jambo dogo kama hili.
Nakubaliana na ww asilimia 100Wajaluo ni mikosi.....wanapenda Kiingereza na utamaduni wa kizungu kupita maelezo!
Halafu wana confidence ya ajabu mno!
Halafu wana akili kupita maelezo..
Kwa hesabu za fasta naona wajaluo wamewapita Wahaya mbali sema labda hawana promo TZ kama Kenya!
NAONA UMEJARIBU KUMCOPY IDDI AMIN SOMEWHERE!Nakubaliana nawe mleta hoja hasa kwenye paragraph yako ya mwisho. Lakini sikubaliani na huyo mhaya. Kwanza mhaya mzuri ni yule (samahani) aliyekufa.
Mimi hawa jamaa ni watani zangu na hivyo sioni ni wapi wana akili hizo. Hivyo naamini tunawazidi hawa ki akili .
Huku nimeambiwa huyu wa sasa atatumika mara moja tu kama vocha! Ukisikia wanasema kama vocha ujue uchaguzi ujao harudi ..🤣🤣🤣Mkuu nataka kuja kuchukua jimbo letu hapo karagwe..! Mwambie huyo jamaa wa bushangalo kwamba mwijikuru wa Lumanyika naije 2020 kutwala ijimbo lyabo.
Ni kweli kabisa