Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Halafu napingana na mleta uzi kwamba kabila la wakurya linatoka musoma. Wakurya wanatoka Tarime sio Musoma, puliiize.
Pili Hata kama kasema wahaya wanaakili nyingi, so what?!. Hili nalo mnabishana?!
Sasa kama kasema wahaya wanazo akili nyingi nyie mnapungukiwa nini kwa yeye kusema hivyo tu?! Alikuwa anatoa maoni yake,kamaliza mumpigie makofi.
Hakusema akili za nini labda kuiba, nyie mmekazana kupinga.
 
Huyo mtaalamu amesema kweli kabisa. Nipo Kaisho na watoto tunakula sana senene na matunda adimu yaitwayo amashaza achilia mbali ndizi kwa wingi zilizochanganywa na vitu vya asili vingi ikiwemo entura! Naona matokeo chanya hapa kama anavyosema mtaalamu ...[emoji1787][emoji1787]
Mkuu nataka kuja kuchukua jimbo letu hapo karagwe..! Mwambie huyo jamaa wa bushangalo kwamba mwijikuru wa Lumanyika naije 2020 kutwala ijimbo lyabo.
 
Kwa iyo hata Maxence Mello Mubyazi muanzilishi wa Jamii Forum umkubali,
Basi wewe nimbishi, unaweza bishana hata na Radio


Maxence Mello is really put on the pedestals.....

JF is just a website bro!
 
Tunapotaka kuzungumza makabila hapa Tanzania utasema Wahaya,Wanyakyusa, Wachaga na Wasukuma. Mengine hayo ni groups tu Kama za WhatsApp. Samahani lakini....
 
Akili yao ndo imewasaidia kutafuta mradi kwa dada zao kujiuza? Wameshindwa kutumia akili yao kubuni njia nyingine ya kupata kipato;?
 
Akili na uzalendo sijui misaada vitu viwili tofauti kabisa.Hapa ndo tunapoanzia kuona kwamba huko kwenu kuna tatizo hata la kuchanganua jambo dogo kama hili.

Kusaidia Taifa wakoongela hapa, sio kwenda kujitolea bure, kufanya kazi za serikali, au kuipa fedha na mali bure la hasha.

Bali kwa mwenye akili wangekua na viwanda wanavyounda vitu mbalimbali, ama wangekua wanavumbua vitu mblimbali, au kwa kutumia akili zao kuendeleza vilivyovumbulia na wenzao.

Taifa lingenufaika, maana wengeajili, na maeneo mbalimbali walimoajiliwa wao, wasingekuwepo, hivyo kuwapa nafasi watu wengine kuajiliwa.

Huko kwa watu wenyi akili nyingi nadhani umeona wanavyonufaisha mataifa yao, maana kiwanda cha kutengeneza ndege kingekua kipo Tanzania tena cha mzalendo, tungenunua kwa bei nafuu kidogo, na bado kodi tungechukua.
 
Wale mnasama wahaya hawajafanya chochote kudhihirisha ujiniazi wao huku mkitumia Jamiiforums ya Muhaya akili zenu zina akili kweli?!?!!
 
Wajaluo ni mikosi.....wanapenda Kiingereza na utamaduni wa kizungu kupita maelezo!

Halafu wana confidence ya ajabu mno!

Halafu wana akili kupita maelezo..

Kwa hesabu za fasta naona wajaluo wamewapita Wahaya mbali sema labda hawana promo TZ kama Kenya!
Nakubaliana na ww asilimia 100
 
Nakubaliana nawe mleta hoja hasa kwenye paragraph yako ya mwisho. Lakini sikubaliani na huyo mhaya. Kwanza mhaya mzuri ni yule (samahani) aliyekufa.
Mimi hawa jamaa ni watani zangu na hivyo sioni ni wapi wana akili hizo. Hivyo naamini tunawazidi hawa ki akili .
NAONA UMEJARIBU KUMCOPY IDDI AMIN SOMEWHERE!
 
Mkuu nataka kuja kuchukua jimbo letu hapo karagwe..! Mwambie huyo jamaa wa bushangalo kwamba mwijikuru wa Lumanyika naije 2020 kutwala ijimbo lyabo.
Huku nimeambiwa huyu wa sasa atatumika mara moja tu kama vocha! Ukisikia wanasema kama vocha ujue uchaguzi ujao harudi ..🤣🤣🤣
 
Mimi naona huyu BEHOLD ana akili sana sijui lakini kabila lake. Akili timamu brightness high iq nk ni mkusanyiko wa vitu vingi sana ikiwemo vingi vya kurithi mazingira afya ya mama namna mtu alivyozaliwa kemikali na mamia ya visababishi vya ama mtu aitwe ana akili au hapana. Kila mmoja aridhike na akili yake aliyopewa na Mungu hata ukimsifia mwingine wala haina manufaa kwako.
 
Back
Top Bottom