Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Povu la nn !!! Soma uelewe, mleta mada kazungumzia maftokeo ya darasan na nyazifa walizowahi kupata wala sio mafanikio au tabia zao hata wewe unaweza kuleta uzi wako kuhusu tabia zao mbaya na mafanikio afifu walio nayo ambayo yapo na mengi tu. Au ulitaka wao darasan wakiwa wa kwanza basi watakutaja wewe.
 
Niombe radhi wabaki na unintelligible wao lakin mi siwez kujivunia kuwa muhaya
Hata diaspora unaona nao kwa sasa wanaangaika kuwa na uraia wa nchi 2 lakn hapo nyuma dah! Mtu alikuwa anajiona ka nn yaan. Sasa na wewe kujivunia kuwa kabila flan ni ushamba na ni akili za kitoto.
 
1.Kwa nn mkoa wa Kagera wamechelewa kuwa na UNIVERSITIES?
2.Kwa nn Bukoba hapajajengwa kufikia hadhi ya kuwa CITY?
3.Kwa nn wahaya ni waoga? hata kiutendaji!! na
4. Kwa nn mabinti wa kihaya wamekuwa makahaba wa kutolea mifano? ....................
Kwenye ukahaba bado hauko sahihi sana sema tu wenyewe ndo wamebeba bango toka zaman na kwao kitu umalaya haikuwa kitu cha aibu sana na kama sijakosea hata hao maprof.walisomeshwa na hao makahaba enzi hizo wakienda nairobi na ilikuwa sifa kweli mwana mama akirudi kijijin kwao.Gongo kusomesha watoto imekuja juzijuzi tu, lakini kwa sasa ingia kwenye mitandao uone kama sijakosea kaskazn inaongoza.
 
Kitu kidogo wanakikuza utafikir ndo wa kwanza dunian,Mbwana Samatta angekuwa mhaya dah!!!
 
Acha excuse za kijinga. Kama umeshindwa kujenga hoja. Kaa kimya kama sisi wengine.

Acha kutukana wa kaskazi..
Usiamishe topic isipohusika.

Mimi huko kagera nimekaa, na huko kaskazini nimekaa.
Wanawake wa kihaya nawajua fika na wanawake wa kaskaz nawajua fika. Sitaki kutolea ufafanuzi. Nitakua nje ya topic.
 
Ilo ni somo tosha kwamba kinature wako vizur maana wazaz wao walifanya ukaaba wakasomesha watoto,na hlo tunalishangaa sana hla kwa nchi za wenzetu ukahaba pia ni kaz km kaz nyingine maana wanalipa kod na kuingiza mapato serikarin,so tuwape hak yao pale wanapostail kiujumla wako vizur.
 
Hata Wagogo wamo
1.Best zabibu farmer 2003-Ndogwe Chigongwe
2.Best traditional music singer 1967-Madalabwete Msanjila
3.Best traditional actor 1995-Zebedayo Machimo
4.Mr Central Zone 1988-Matia Chibwaye.
Hehe
 
Subiriiiiii, !! mkinini,??... wakikuyu wanajua kuiba tu, okay mhaya.. senene ana miguu mingapi kwa haraka haraka maana umetukaba koo na wahaya au unataka tuhamie bukoba nn?
 
Mpaka sasa sijaelewa motive ya mleta mada. Ila ningependa kumshauri tu ,Taznania yetu ilipotoka ni mbali na tulishavuka suala la ukabila kiasi kikubwa na imetusaidia sana kwa amani yetu na upendo baina yetu,

Kitendo cha mtu mmoja wa kabila fulani kuhisi kwamba kabila lake ni bora kuliko makabila yote Afrika sio sahihi na sidhani kama wanakabila wengine wote wanakubaliana nae .Pia napenda kumwambia mleta uzi huu usiwe mtu ambaye kutokana na maneno yako watu wanapata kugombanda ,

Kwa kuangalia tu comment zilizopita utaona ni jinsi gani watu hawakuridhishwa na kilichokuwa presented.Unaeza usione madhara ya unachokifanya saivi kutokana na kutofikiria unachokileta kwa kina na pia kina madhara gani mbeleni ila nataka nikuambie kwamba madhara ya mambo haya ni makubwa sana mbeleni.

Watanzania sisi ni wamoja na ningependa ibakie hivyo na ili iwe hivyo kabila moja lisijione bora kuliko kabila jingine "wanajamii forum wenzangu natoa rai kwamba watu wanaoleta habari hizi ni wa kukemea sana ili wajue wanakosea" .

"
Pia ningeomba moderator muwe mnatusaidia panapo mada kama hiz zenye kuleta mpasuko na zisizo na faida humu ndani zenye kuhimiza ukabila"
 
na wale wa pale Temeke mbona haujwalzea kwa thread yako...
 
Upo.sahihi..anaebisha my b ashindi.viwanja..mabint wa kichaga,na wale wasingida sijui wanyaturu plus wanyakyusa wanafunika kwa.umalaya ten kwa.kujiuza anaebisha aende kona.bat,ambiance au popote twn..chukua.malaya siku sab.mfululizo waweza kuta umegonga chaga nne,nyaki mbili na.nyatulu moja

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…