Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Je hao wote walikuwa na mazingira sawa ya kujifunzia tangu nyumbani na shuleni? We mtoto wa mwalimu na wa mchunga ng'ombe unadhani ni kawaida kuwa sawa? Watoto wengi wa wasomi huwa wasomi bila kujali makabila yao, huoni kuwa jamii iliyoanza kupata elimu awali ni kigezo kikubwa ktk nadharia yako hii? Hujui gap kati ya yale makabila makubwa kiusomi (wahaya, wachanga na wanyakusa) linapungua, siku hizi degrees ziko hadi Manamba na Usukumani tena vijijini.
Gap dhidi ya makabila hayo linapungua baada ya sisi kama Taifa kuichezea elimu yetu kwa kupanua magoli ili watu washinde kwa urahisi. Fuatilia vyema uone elimu yetu imeharibiwa na nani, yupo. Tukiwa serious tena nafasi za wenye uwezo kichwani zitaanza kujidhihirisha tena.
Elimu gani mtu anapata DDD halafu naye anajisifu kwenda Chuo kikuu?
Hata hivyo ukitaka kujua kipimo cha akili, fuatilia wanaochaguliwa kusoma digrii ya udaktari ama computer science. Huko hakuna vilaza wanaoweza kubebwa. Wengi wana-disco sana kwenye hizo kozi na hivyo kubakiza walewale wa miaka yote.
Kila jamii ina optimum ability katika elimu (formal).
 
Umenikumbusha DK tresphory kyaruzi
 
Ukweli utabaki na tutaendelea kuusema hawa watu waache walivyo,

Siku hizi wako mpaka mikoa mingine mkiona wanafauru kutokea pwani mnadhani ni wazalamo? Hapana ni wahaya wamwhamia mikoa hiyo
 
We subiri tu naandaa taarifa ya akili za makabila yetu kuanzia la kwanza hadi mwisho. Hata hivyo ni toe tahadhari kubwa, kipimo kizuri cha kabila ni kabla ya kupata uhuru ama hata kabla ya miaka ya 1970s ambako hakukuweko miji mikubwa na watu wengi waliishi kwenye makabila yao.
Kwa sasa, jiji la Mwanza linatoa shule nyingi zinazofanya vizuri mitihani ya darasa la VII hadi Kidato cha VI. Ukifuatilia wengi wao utagundua siyo wazawa though Wasukuma ni asilimia 70% ya wakazi wa jiji hilo.
Hata Mbeya, inafanya vizuri but ni nguvu ya Wanyakyusa zaidi kuliko wenyeji wa jiji hilo ambao ni Wasafwa.
Pamoja na Wameru na Waarusha kuwa na za darasani lakini nenda Arusha, jiji utadhani liko uchagani kielimu.
Ukiwa Dar ndio kituko zaidi maana ni jiji la Wazaramo lakini ukienda kielimu unawapotea kabisa. Hapa Dar makabila makubwa ya Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa ndiyo yamedominate kielimu.
 
Kihistoria wakati wa ukoloni,sehemu zilizokuwa na ecomomic potentalities katika colonial economy zilikuwa favoured na basic social needs ikiwepo shule. Huduma za afya. Due to that wahaya walikuwa NA kahawa. Therefore wakawa watu wa kwanza kupata elimu. La pili senene vichwa vya samaki kuna madini yanachangia development of intellect.
 
*WAHAYA, THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA (EASTWARD) FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA*

*Nimepata sehemu TAFITI (RESEARCH) inayoonesha yafuatayo:*
*SHULENI*
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa *WAHAYA* top three mmoja lazima awe Muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu .
*FACTS*
.Best student UDSM 2005 - Benson Kagashe
. Best student 2009 Mr Denice Byarushengo
. Best student UDSM 2014. Mr William Pascal
. Best student COET-UDSM 2015 Mr Almachius Kahwa.
Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita Chuo Kikuu kikubwa UDSM kimepata Best student kabila la *WAHAYA 12 ,***
International Organization
1. Texas Power Chief Operations - Wellington Kamala
2. IMF africa representative - Delphine Rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard University for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced Jakaya Kikwete and Lipumba to be economic scholars
4. James Kateka from Bukoba, general chairman of Lawyers in the World, Scholar Harvard University,
5. James Rugemalila General Manager of VIP Engineering, Academician,
6. Florian Rugambwa the first Bishop and Cardinal in Africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya Mutegeki , member of Board of Nuclear , USA
9. *SIR GEORGE KAHAMA*, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa Malikia akampa u SIR.

*NDANI YA NCHI KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,*
*maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu:*
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
mfano:
A. Harvard University- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga Baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard University,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof Kaijage , University of Birmingham
E. Mark Rweyemamu director of GALV
Pia *General Education Forum* imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
maprofesa 172 walitambulika kutoka Kagera,Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya Kiziba,
Kwa hiyo sehemu nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki
kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa KAGERA ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katika wilaya ya Bukoba Mjini, halikuitwa bunge direct ila ilikuwa ni vikao vya WAKAMA kila mwezi vinaendeshwa sehemu inahitwa ACHEMBA RWAMISHENYE, watu wa kule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 NYERERE akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakoloni walishangaa kuona shughuli za Bajeti, Sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa Wahaya na wa Kikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.

*TAASISI ZA SASA*
-Katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya:
TPB- Leticy Rutashobya Mkurugenzi mkuu
TPA - Mwanasheria Mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize Malinzi
TIC- Madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel Kamuzora
UDSM- Prof Mukandara
CRD- Consolatha Ngimbwa General Manager
NBC : Pius Tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha Kazaula
UHAMIAJI: MR Mikinga
Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?
Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha *HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA*
Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 Mwalimu NYERERE akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda Secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,
Wakati watu wengine kama *DODOMA* mwenye Marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza:
-Ndyamukama
-Tibalemwa
- Rutashobya
-Kagasheki
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa

ILA MIMI SIO MHAYA

copy and paste
 
Wako vizuri kichwani, hata wakiwa hawajasoma hapa kwetu kwenye taasisi ya biashara namtolea mfano bosi Ruge Mutahaba.

Ila..... ila.... nilisikia huwa wanasifika kwa.....

Kwa.....

Kwa......

Yaani ni wataalam wa......

2018-01-03 22.29.02.jpg

Ila kwa kujisifu tuu na madharau hawajambo, utasikia rweyemamu anamuagiza houseboy wake hebu chukua hizi funguo za vanguard ukanunue chakula cha boby (mbwa) hapo supermarket.

Hahahahaa pamoja na madharau nachowapendea wanajua kusaidiana kwa kunyanyuana na wanajua kutafuta pesa ndo maana matumizi yao huwa ni makubwa na ya dharau. Wanapenda sana pride labda ni inborn.

Ever Smiling Kasie.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lazima aliefanya utafiti huu alikuwa ni muhaya. Hata kama ni kweli ila unaelement nyingi za ukabila. Idd amini dada uko wapi uje ukomboe jimbo lako. Sio wenzetu hawa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

wahaya wanasifika sio kwa kusoma tu bali hata kwa umalaya na ukimwi uliwaangamiza sana miaka ya 80
 
Lazima aliefanya utafiti huu alikuwa ni muhaya. Hata kama ni kweli ila unaelement nyingi za ukabila. Idd amini dada uko wapi uje ukomboe jimbo lako. Sio wenzetu hawa
hawa ni waganda sio wa kwetu
 
Wako vizuri kichwani, hata wakiwa hawajasoma hapa kwetu kwenye taasisi ya biashara namtolea mfano bosi Ruge Mutahaba.

Ila..... ila.... nilisikia huwa wanasifika kwa.....

Kwa.....

Kwa......

Yaani ni wataalam wa......

View attachment 667887
Ila kwa kujisifu tuu na madharau hawajambo, utasikia rweyemamu anamuagiza houseboy wake hebu chukua hizi funguo za vanguard ukanunue chakula cha boby (mbwa) hapo supermarket.

Hahahahaa pamoja na madharau nachowapendea wanajua kusaidiana kwa kunyanyuana na wanajua kutafuta pesa ndo maana matumizi yao huwa ni makubwa na ya dharau. Wanapenda sana pride labda ni inborn.

Ever Smiling Kasie.
mbona sifa ya kutafuta pesa hawana
 
Back
Top Bottom