Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Yote usemayo nikweli.

Nakwasababu wahaya ni wapenda sifa ,huishia kua wapenda sifa mdomon lkn kimaendeleo ni zero !!.ndio maana wahaya wanaoana sana wachàga !!.

Huo ndo ukweli !!.
 
Wahaya siasa zimewafarakanisha utafti na ukienda bukba unajiuliz hv uku ndiko wanakotoka hawa watu kweli... Nasikia kulikuwa na collision kati ya mwalm na baadhi wa wahaya.. Mambo yakabadilika ghafla labda na hilo la passmark likaongezwa,

Kwa sasa majumba yapo ndani ya mgomba.. Mjini wamewaachia wageni na wahindi.. Ukifika bukoba lugha kuu ni kihaya.
 
Si wengekuwa matajiri sana hapa bongo zaid ya Mengi au bakharesa
 
Kweli mnapenda sifa aisee, duuuh yaani umeumiza kichwa nakutumia kuda wako kudadavua tu wako wa kabila lako bila hata kuona kwamba huko ulipo dadavua wapo watu wa makabila mengine, kweli mnapenda sifa aisee
 
Back
Top Bottom